displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,083
Heri ya Mwaka mpya wadau, natumai wote muwazima wa afya njema. Niwape pole kwa wagonjwa, muugue pole!
Hoja yangu ni juu ya kufichua waovu na wezi katika jamii yetu ili tuweze kuifanya jamii yetu kuwa sehemu salama ya kuishi kwa usawa pia.
Ni mara kadhaa kila nikipita choo hiki cha stendi hapa mjini Moshi nashindwa elewa huu umeme wao umekaaje na je choo ndio wameiba au pana wanufaikaji wengi wa uwizi huu wa umeme!!?
Leo Nimejitosa kuea mpiga filimbi juu ya wizi huu, ombi langu kwa TANESCO na wadau husika naomba mfanye kupita hapo kuona yanayoendelea.
Tazama kiambatanisho cha pichaa..
Source: DisplayName, Safarini.