Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,446
kina raha yake unaoga huku unachungulia wapita njia wao kazi yao kushuhudia kikopo kinavosafisha mwili.
Maji yenyewe ya kuogea ni nusu ndoo hivyo yanatumika kwa makini sana
Sasa hapo nikifunga gunia wkt lazizi ananisugua mgongoni watu hawata muona?
kha usinikumbushe siku moja mwenyewe naoga kigiza giza fulani nikahisi watu wananichungulia breki ya kwanza ilikuwa chumbani nikajipiga pasipotisize mchezo ukawa umeisha
Fidel umenikumbusha kuna mitaa nilipita nikaona choo cha hivyo basi mwanamke ametangulia ameshika ndoo na kopo ile anafika mlangoni nikasikia sauti ya mwanamke inaita "We Baba mwajuma njoo tuoge unafanya nini huko chumbani muda wote" halafu watu wanapita kama kawaida kila na mtu na time zake nikasema dah kweli uswahilini watu kauzu kweli
Mkuu, uswazi hii kawaida sana.Mkuu uswazi ni mambo yote bana
choo kinaweza kuwa hivyo au bafu ila utashangaa wanaingia mke na mume kuoga
Na wala hawana wasi wasi
Wakiingia hivyo watoto kupiga chabo ndo usiseme
Hahahaa...........hapo lazima uwe unawahi sana kibaruani.............yani saa kumi ushaondoka.
unaingia chooni/bafuni saa tisa usiku!!!