Choo cha passport size

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444

Mambo ya uswahili ni kawaida sana kuona choo cha passport size.
Kuna wapenzi huwa wanapenda sana kuoga pamoja bafuni hata chooni wanapenda kwenda pamoja.
Sasa kwa wale wapenzi wanao tumia vyoo vya passport size wanafanyaje?
Nimepata mrembo uswazi choo chao passport size nitawezaje kuoga nae?
 
hapo hakuna cha kuoga wote wala nini, labda kama nyumba haina sakafu muuogee ndani
 
bonge la choo hilo mchana hakitumiki ila usiku na asubuhi sana wakati wa kwenda job
 
Ila uswazi ni mambo yote bana
unatoka kuoga pekupeku hakuna cha taulo wala nini
Unakanyaga udongo unafutia sehem yoyote mlangoni (kama nyumba ina sakafu lakini) unaingia zako kwako
 
kina raha yake unaoga huku unachungulia wapita njia wao kazi yao kushuhudia kikopo kinavosafisha mwili.
 
kha usinikumbushe siku moja mwenyewe naoga kigiza giza fulani nikahisi watu wananichungulia breki ya kwanza ilikuwa chumbani nikajipiga pasipotisize mchezo ukawa umeisha

Maji yenyewe ya kuogea ni nusu ndoo hivyo yanatumika kwa makini sana
 
Fidel umenikumbusha kuna mitaa nilipita nikaona choo cha hivyo basi mwanamke ametangulia ameshika ndoo na kopo ile anafika mlangoni nikasikia sauti ya mwanamke inaita "We Baba mwajuma njoo tuoge unafanya nini huko chumbani muda wote" halafu watu wanapita kama kawaida kila na mtu na time zake nikasema dah kweli uswahilini watu kauzu kweli
 
kha usinikumbushe siku moja mwenyewe naoga kigiza giza fulani nikahisi watu wananichungulia breki ya kwanza ilikuwa chumbani nikajipiga pasipotisize mchezo ukawa umeisha

Ila uswazi kuchunguliwa sio issue maana watoto wakishaona umebeba tuu ndo unaingia bafuni na wao hao kuchungulia
 
Fidel umenikumbusha kuna mitaa nilipita nikaona choo cha hivyo basi mwanamke ametangulia ameshika ndoo na kopo ile anafika mlangoni nikasikia sauti ya mwanamke inaita "We Baba mwajuma njoo tuoge unafanya nini huko chumbani muda wote" halafu watu wanapita kama kawaida kila na mtu na time zake nikasema dah kweli uswahilini watu kauzu kweli

Mkuu uswazi ni mambo yote bana
choo kinaweza kuwa hivyo au bafu ila utashangaa wanaingia mke na mume kuoga
Na wala hawana wasi wasi
Wakiingia hivyo watoto kupiga chabo ndo usiseme
 
Hahahaa...........hapo lazima uwe unawahi sana kibaruani.............yani saa kumi ushaondoka.
unaingia chooni/bafuni saa tisa usiku!!!
 
Mkuu uswazi ni mambo yote bana
choo kinaweza kuwa hivyo au bafu ila utashangaa wanaingia mke na mume kuoga
Na wala hawana wasi wasi
Wakiingia hivyo watoto kupiga chabo ndo usiseme
Mkuu, uswazi hii kawaida sana.
mbona hata chumba chenyewe kimoja na kuna watoto watatu??
 
ukichelewa tu imekula kwako maana hapo kuingia kwa zamu omba asiingie mama mwenye nyumba kwanza uswahilini balaaa nakwambia nakumbuka mama mwenye nyumba alikuwa analala na kuku chumbani utabaki na maswali majibu hutakaa upate

Hahahaa...........hapo lazima uwe unawahi sana kibaruani.............yani saa kumi ushaondoka.
unaingia chooni/bafuni saa tisa usiku!!!
 
Back
Top Bottom