ukiingia hapo benjamin mkapa vyoo vimo kibao,au ungeenda pale bar kwa mbowe break point ungemaliza haja yako,nic pale,hapo posta kuna bar kibao ungejisiadia tu.labda useme umekosa packing.mia
Duh kwelı wewe mkalı kwenye buti ya gari,kwahyo hapo unatembea na kı.mba ndani ya garı yako,kumbe ndıo maana kuna gari lımenipıta maeneo nıkasıkıa harufu mbaya,duh pole mkubwa
just a joke.
hahahahahahaha! Mi nasikia harufu ya kinyesi hadi kwenye hii thread. Jamaa hajanawa.
Hahahahahahah lol! Wee Husninyo yaani umenichekesha ile mbaya hahahahahah lol! Dah!
tucheke mwaya tuongeze siku za kuishi.
Huu ni mbadala nzuri lakini nadhani tatizo kubwa ni kutokuwa na public toilet. Hizo za kwenye mabaa wala hazitasaidia kwani nao walizijenga kwa ajili ya matumizi ya mateja wao si public useukiingia hapo benjamin mkapa vyoo vimo kibao,au ungeenda pale bar kwa mbowe break point ungemaliza haja yako,nic pale,hapo posta kuna bar kibao ungejisiadia tu.labda useme umekosa packing.mia
mkuu mbona pale posta ya zamani opposite na nbc corporate branch kuna vyoo vya kulipia? Au kama vipi ungezama hata bar yoyote ya karibu ukazuga kama mteja ila brake ya kwanza toilet then ungerudi kaunta walau kununua maji ya kunywa. Pole sana.
hahahahahahaha! Mi nasikia harufu ya kinyesi hadi kwenye hii thread. Jamaa hajanawa.
nachapa lapa....thithemi..yalinisibu makuyuni arusha/....
Leo nimebanwa na haja kubwa wakati naendelea na mizunguko yangu Posta. Nimehangaika lakini bila mafanikio kutafuta sehemu ya kukatia gogo. Yaani ilinibidi nitumie mfuko wa plastiki na kuhifadhi mzigo kwenye buti. Kwakweli kuna umuhimu kwa serikali kujenga choo cha jumuia posta vinginevyo mnatuua wageni wa mji huu.
Siku nyengine kaza mwendo elekea baharini mkuu,, uta enjoy sana,, una download huku kaupepo mwanana kanakubembeleza.
Angalia sana wapi unaenda kutupa hiyo akiba,,si unajua watoto wanavyojiokotea!