Mwita25
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 3,831
- 1,164
Leo nimebanwa na haja kubwa wakati naendelea na mizunguko yangu Posta. Nimehangaika lakini bila mafanikio kutafuta sehemu ya kukatia gogo. Yaani ilinibidi nitumie mfuko wa plastiki na kuhifadhi mzigo kwenye buti. Kwakweli kuna umuhimu kwa serikali kujenga choo cha jumuia posta vinginevyo mnatuua wageni wa mji huu.