Chondechonde ageni mkienda loliondo!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,171
9,386
Naomba kwa atakayeguswa na hili anisamehe nimelileta hapa kwa manufaa ya umma!
Taarifa ya tiba ya babu imeleta tatizo lingine kwenye mahusiano .Baada ya couples kadhaa kudanganya kuwa wanaenda safari za kazi kumbe wanaenda kwa Babu .matokeo yake wenza wao walipogundua ndoa /mahusiano yameingia matatizo .Kama unaamini tiba ya babu na mwenzio haamini ,muelimisha aelewe na uende kwa amani .hii kudanganya na baadaye mwenzio anagundua ni hatari kwa penzi lenu.
 
Watajijua nani kawambia wamsingizie babu.
 
wawe wanaaga, imagine kila siku kwenye mstari wafariki watu 15.. Wawe wanaaga!
 
Heri hili waliowadanganya mabos na kukutana nao live kwa babu?

Na walioaga wanasafiri kikazi halafu mke na mume wanakutana kwenye foleni? Kila mtu he hapa ndo Dodoma? He hapa ndo Mwanza?? Kweli watu waage tu kwa amani. Kwani huo ugonjea unaokwenda kutibiwa mke/mume haujui?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom