Chonde TCRA Msiangalie Simu Feki Tu

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,258
Hivi hata lini tunaendelea kulalama haya makampuni ya Ving'amuzi yakiwemo AZAM na DSTV

Nyie TCRA hamna ving'amuzi kubaini jinsi LOCAL CHANNELS znavyokatwa sanjari na channels nyingine pindipo ucheleweshapo malipo:?

hata Star tv na ITV hatupati au ndio TV mahususi tu ndio Local?
 
hawa tcra wanahangaika na simu fekiwakati wenye makampuni ya simu wanatuibia muda wa maongezi wala hawashituki, sijui wamelipwa shilingi ngapi na makampuni ya nje
 
hawa tcra wanahangaika na simu fekiwakati wenye makampuni ya simu wanatuibia muda wa maongezi wala hawashituki, sijui wamelipwa shilingi ngapi na makampuni ya nje
inaudhi sana una mamlaka ambayo kazi yake ni kuangalia maumivu na si kumsaidia mtanzania mnyonge mamlaka ambayo ni kama ina meno upande tu
 
Aisee mbona muda ukiongezeaka
Vimeo Fake fever inazidi kuumiza watu?
Maaha heading na yaliyomo ni sawa na juice ya miwa na Ice cream.
Nikipita mitaani naona watoto wanafurahia saana kuzimwa sim fake,maana watapata Toys za Bei mbaya kweli,wamechoka na zile toys za buku tano.
 
Jamani naskia kuna calculator Feki yaani wanafunzi wanafeli na wafanyabiashara wanapata loss.Kwi kwi kwi
 
hawa tcra wanahangaika na simu fekiwakati wenye makampuni ya simu wanatuibia muda wa maongezi wala hawashituki, sijui wamelipwa shilingi ngapi na makampuni ya nje
Hii serikali inawatesa zaidi hao maskini mkulu anayepita akiwahadaa. Unawaambia hao hao maskini eti niko kwa ajili yenu. Wezi wakubwa wa nchi Hii wanapeta tu. Kosa si la mnunuaji simu kosa ni la serikali na mwingizaji wa hizo simu. Mkulu angalia hili kwa jicho la huruma. Hawa maskini ndio waliokuweka hapo ulipo. Fanya hivi wajibisha serikali na wafanya biashara na makampuni ya simu. Walipoagiza watu kusajili namba za simu kwa nini hawakuagiza wananchi wasajili simu zao. Huu ni uonevu uliopitiliza!
 
Back
Top Bottom