Chonde dada zangu vaeni chupi jamana:::hatari hii

KIBE umezoea yale makubwa ya kushonesha
kwani haujui za leo leo zilivyo?

Hii ni aibu ya mwaka dada zangu hii tabia ya kutovaa chupi ni mbaya sana..
Leo kuna dada kavaa suruali yake ya kitambaa kaingia ofisini ..ofisi yetu ni ya kizamani viti vingi na mabechi ni ya mbao ...akafika akakaa kwenye kiti bila kujua kumbe kuna msumali umechomoka kamaliza shida yake anainuka msumali umeshikilia suruali mbaya ukachana sehemu kubwa ya matakono mwa suruali ... Ukweli ilibidi niiname chini nimwite mhudumu wa kike amstiri kwa kanga ambayo alikuwa nayo kwa pochi..yani ****** yote njee mana ndani hana hata chupi yuko kama alivyo letwa duniani..

Wito dadazangu ninyi wa siku hizi vaeni chupi jamani eeh hizi aibu gani!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hadith ya kutunga hii, si afadhali ungesema alipokaa msumari ukaingia kwenye chombo!!
 
Hii ni aibu ya mwaka dada zangu hii tabia ya kutovaa chupi ni mbaya sana..
Leo kuna dada kavaa suruali yake ya kitambaa kaingia ofisini ..ofisi yetu ni ya kizamani viti vingi na mabechi ni ya mbao ...akafika akakaa kwenye kiti bila kujua kumbe kuna msumali umechomoka kamaliza shida yake anainuka msumali umeshikilia suruali mbaya ukachana sehemu kubwa ya matakono mwa suruali ... Ukweli ilibidi niiname chini nimwite mhudumu wa kike amstiri kwa kanga ambayo alikuwa nayo kwa pochi..yani ****** yote njee mana ndani hana hata chupi yuko kama alivyo letwa duniani..

Wito dadazangu ninyi wa siku hizi vaeni chupi jamani eeh hizi aibu gani!!!!
Siku hizi kuna kale kauzi tuu cha kuziba tundu..{Bikin} Kuona ---- haina shida kamanda usijali...wala usingeinama,hapo ni sawa umeona shavu tuu haujaona meno!!!:twitch:
 
una matatizo ya kisaikolojia wewe hakuna mwanamke anaweza kutembea bila kuvaa nguo ya ndani kwani hujui hilo, njoo nikusaidie ili uondoe stress zako
Hii ni aibu ya mwaka dada zangu hii tabia ya kutovaa chupi ni mbaya sana..
Leo kuna dada kavaa suruali yake ya kitambaa kaingia ofisini ..ofisi yetu ni ya kizamani viti vingi na mabechi ni ya mbao ...akafika akakaa kwenye kiti bila kujua kumbe kuna msumali umechomoka kamaliza shida yake anainuka msumali umeshikilia suruali mbaya ukachana sehemu kubwa ya matakono mwa suruali ... Ukweli ilibidi niiname chini nimwite mhudumu wa kike amstiri kwa kanga ambayo alikuwa nayo kwa pochi..yani ****** yote njee mana ndani hana hata chupi yuko kama alivyo letwa duniani..

Wito dadazangu ninyi wa siku hizi vaeni chupi jamani eeh hizi aibu gani!!!!
 
una matatizo ya kisaikolojia wewe hakuna mwanamke anaweza kutembea bila kuvaa nguo ya ndani kwani hujui hilo, njoo nikusaidie ili uondoe stress zako

hata underskirt si ni nguo ya ndani tu! yeye anaongelea chupi kama chupi.
 
wwewe sasa naona mko sawa na mwenzio yaani kwanini mnatudhalilisha kiasi hicho sikutegemea kama nawe ungekuwa hivyo yani nilikuona wa ukweli nikakuthamini mambo unayoniandikia hapa ................? nimekusamehe bure

Nimekosea nini rafiki?
 
Hii ni aibu ya mwaka dada zangu hii tabia ya kutovaa chupi ni mbaya sana..
Leo kuna dada kavaa suruali yake ya kitambaa kaingia ofisini ..ofisi yetu ni ya kizamani viti vingi na mabechi ni ya mbao ...akafika akakaa kwenye kiti bila kujua kumbe kuna msumali umechomoka kamaliza shida yake anainuka msumali umeshikilia suruali mbaya ukachana sehemu kubwa ya matakono mwa suruali ... Ukweli ilibidi niiname chini nimwite mhudumu wa kike amstiri kwa kanga ambayo alikuwa nayo kwa pochi..yani ****** yote njee mana ndani hana hata chupi yuko kama alivyo letwa duniani..

Wito dadazangu ninyi wa siku hizi vaeni chupi jamani eeh hizi aibu gani!!!!

hili joto hasiraaaaaa.....
 
free advertisement
attachment.php
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom