Chonde dada zangu vaeni chupi jamana:::hatari hii

Chonde dada zangu vaeni chupi jamana:::hatari hii

atakua alivaa chupi aina ya bikini maana kuna suluali zingine unatakiwa uvae aina hiyo ya chupi
 
Kama katoka alikotoka akafika mpaka hapo kwako huyo nimtu na akil zake timamu,sasa wewe unaumia koo la nini kwa raha zake,kama baya kwa wewe yeye anaona sawa, usijuchoshe nafsi yako...
 
raha yake awe ametupia zile suruali za kitambaa cha sanda utajuta anavotikisa takoo hatari
 
attachment.php
 
Yakiwa ndani ya suruali mnakodolea macho kama roba ya mbao imetegwa kwenye koromeo...lakini umepata ngekewa ya kuyaoma laivu eti unainamisha kichwa chini....hahahah sisi wanaume bhanaaa

he he Smile umeamkaje mamito?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom