Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Mchumia janga anakula na wa kwao,Sie waangalia hilo kalio maisha yanaendelea yy anampa tabu baba ake.
Mpk umeniacha nichek duuhMchumia janga anakula na wa kwao,Sie waangalia hilo kalio maisha yanaendelea yy anampa tabu baba ake.
hapana mkuu. ntakuwa mitaa ya nyumbi hii,bombi hii.Ndio wakome.
Mafundi
vyerehani wako kibao, ukiona una umbo LA kichagga kama miss chagga Nenda kakusanye matambara, rundika kwenye mahips na wowote, risk free therapy.
Red Giant utakuwepo Salalani Xmas hii?
Kwakweli [emoji23]Mchumia janga anakula na wa kwao,Sie waangalia hilo kalio maisha yanaendelea yy anampa tabu baba ake.
Dah hii boo ukiisoma kwa kiswahili utata mtupu ,imebidi nirudi kwenye picha nikaangalie tenaAseee hapo hata boo ake hamtaki tena chaaa
[emoji23]Dah hii boo ukiisoma kwa kiswahili utata mtupu ,imebidi nirudi kwenye picha nikaangalie tena