Chonde chonde Gamond na benchi lako la ufundi, kijana wenu pendwa (Guede Jr) apewe dakika 9 au 10 kwenye mechi dhidi ya Mamelodi

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,201
12,719
Uwezo wa Guede Jr umekwisha onekana ni mtu wa kusubiri apenyezewe ball papatu papatu na Yeye afunge, Geuede Jr ni mzito na siyo mtafutaji (mkabaji) Kama afanyavyo Kennedy Musonda na Clement Mzinze.

NALIA NGWENA kocha mchezaji natumia jukwaa hili Pendwa kuwaambia /kuwapa taarifa Gamondi na Benchi la ufundi kuwa Guede Jr apewe dakika 9 au 10 zinamtosha maana ni mechi ya kivumbi na jasho hii mechi haitaki mchezaji kukaa mbele inataka mchezaji atakayevuja jasho ndani ya dakika 90

NALIA NGWENA nitafurahi sana Tena mno endapo kocha atapanga Kosi la Kono la NYANI lililompiga Simba sc na Belouzdad japo kua Kuna baadhi ya wachezaji wapo na Majeraha na taarifa nilizozipata kutoka huko chimbo ni Kwamba Hali siyo mbaya kwa Khalid Aucho, Pacoume na Yao Yao.

Benchi la ufundi lizingatie haya Presha za ukabaji za Kennedy Musonda zitawanyima uhuru Mamelodi Fc.

Kosi hili (1) Diara (2) Yao Yao (3) lomalisa /Bage boy (4)&(5) Job na Baka (6)&(8) The tank & Mudathr (7) Nzengeli (11) Pacoume fundi (10) Aziz ki (9) Musonda.

Kila la heri Yanga Sc katika kulipambania taifa na kuliheshimisha taifa.

Tukutane kwa Mkapa.
 
Mechi 9 goli 50
UBUNTU BOTHO
IMG-20240324-WA0614.jpg
 
Uwezo wa Guede Jr umekwisha onekana ni mtu wa kusubiri apenyezewe ball papatu papatu na Yeye afunge, Geuede Jr ni mzito na siyo mtafutaji (mkabaji) Kama afanyavyo Kennedy Musonda na Clement Mzinze...
Kikosi hicho, naweka bondi nyumba ya urithi, kama mbwai na iwe mbwai.
 
Uwezo wa Guede Jr umekwisha onekana ni mtu wa kusubiri apenyezewe ball papatu papatu na Yeye afunge, Geuede Jr ni mzito na siyo mtafutaji (mkabaji) Kama afanyavyo Kennedy Musonda na Clement Mzinze.

NALIA NGWENA kocha mchezaji natumia jukwaa hili Pendwa kuwaambia /kuwapa taarifa Gamondi na Benchi la ufundi kuwa Guede Jr apewe dakika 9 au 10 zinamtosha maana ni mechi ya kivumbi na jasho hii mechi haitaki mchezaji kukaa mbele inataka mchezaji atakayevuja jasho ndani ya dakika 90

NALIA NGWENA nitafurahi sana Tena mno endapo kocha atapanga Kosi la Kono la NYANI lililompiga Simba sc na Belouzdad japo kua Kuna baadhi ya wachezaji wapo na Majeraha na taarifa nilizozipata kutoka huko chimbo ni Kwamba Hali siyo mbaya kwa Khalid Aucho, Pacoume na Yao Yao.

Benchi la ufundi lizingatie haya Presha za ukabaji za Kennedy Musonda zitawanyima uhuru Mamelodi Fc.

Kosi hili (1) Diara (2) Yao Yao (3) lomalisa /Bage boy (4)&(5) Job na Baka (6)&(8) The tank & Mudathr (7) Nzengeli (11) Pacoume fundi (10) Aziz ki (9) Musonda.

Kila la heri Yanga Sc katika kulipambania taifa na kuliheshimisha taifa.

Tukutane kwa Mkapa.
MSHAMBA WW
 
Mwasibu OKW BOBAN SUNZU angemuanzishia uzi wa kihasibu huyu mchezaji Joseph Guede; naamini kwa mara ya kwanza kabisa angepatia hesabu zake.

Ila kwa bahati mbaya ndiyo hvyo tena! Eti anawaanzishia uzi watu ka Aziz Kii! Na mwisho wa siku anajikuta ameangukia pua.
 
Back
Top Bottom