Chonde chonde chama changu CHADEMA

Chonde chonde chama changu CHADEMA

wewe si ndie yule fisadi wa kisiasa, in english you are "political prostitute" hivyo kweli una sauti ndani cdm, wewe si umewauza wenzako kwa kuwasingizia. Wacha kumtukana rais wetu, aliye kupa uhuru wakuweza kuaandamana na kuropoka ovyo, enzi ya mkapa wewe si ulikuwa unatawa.

Wenye sauti ndani ya chadema ni wanachama na sii vinginevyo.. Usimzibe mdomo.. Raisi hajatoa uhuru wa kuandamana ni katiba inayotoa huo uhuru, yeye (rais) anatakiwa kuilinda hiyo katiba kuhakikisha inafuatwa... Kama mkapa alikua akiisigina katiba mwambie wananchi wameamka.
 
WACHA NIDHAMU YA WOGA

Huu ni MWAKA WA NGUVU YA UMMA.

Halafu sipendi hii kauli ya nchi bado changa, yaani miaka 52 ya uhuru bado ni masikini na bado ni wachanga tu?
mtoto aliyezaliwa 1961 kwa sasa ana mjukuu ila we utamuona bado ni mchanga tu?

Musa angemtii Farao asingewakomboa Wana wa Israeli

Biblia inamasema "Tiini mamlaka inayowazidi ngivu"

Sasa tangu lini jeshi likaishinda Nguvu ya Umma?
Serikali ndiyo inapaswa kuutii Umma kwa kuwa Umma una nguvu kuliko serikali.
maneno yako ni mazito mkuu huo umma unaousema kuna wanaokubali na wanaokataa maandamano wewe unasemaje?
 
Hivi Dar ndio wanaishi watanzania wote, si waende kwenye majimbo yao wakawaeleze walio wachagua.
 
Mbona ananiambia wewe ni mcameron kama mwenyekiti wa nccr manunuzi nikama joka la kibisa tu

Haahaaahaaaaa! Wewe utatufaa sana MMU. Amekwambia hivyo ili usinikubali, anawivu sana huyo mama watoto wangu.

Nyie ogeni kwanza halafu twende MMU. Mengine tutaongea vizuri baada ya kufahamiana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Amani ni tunda la haki.Akina Mandela na Steve biko wangeendelea kuitii malaka ya Makaburu hadi leo hii sijui wangekua wapi..

Dunia Ingeendelea kutii Mamlaka ya Adolf Hitler na Hegemony ya chama chake cha NAZI sijui leo Dunia ingekuaje!

Hata mitume na Manabii wa dini zote walilazimika kupambana na mamlaka zilizokuwepo ili kuleta haki na ukombozi kwa watu.Itumie mishafu vizuri

ooh,kumbe hamtaki kuitii serikali iliyochaguliwa kwa kura.sasa si mshike mitutu tujue moja kuliko kuandamisha watu mchana kutwa na jua kali bila kuwalipa hata senti.
 
Tunapambana na mkoloni mweusi.Hatutaki kutawaliwa,tunataka kuongozwa.....!

Ungetumia nguvu hizi unazotumia hapa kumtaka au kumshinikiza Spika kutenda haki na utawala dhalimu wa CCM kusikiliza matakwa ya umma ili yasitokee hayo ya Misri kama ndiyo yanyaokutisha
mkuu SPIKA anafuata kanuni huwezi unalotaka wewe litendeke bila kuzingatia maslahi ya umma pamoja tujenge chama chama hujengwa kwa hoja si maandamano
 
kaka ben huwezi fananisha ujerumani na tanzania kumbuka kule kulikuwa na utawala dhalimu,,,, mandela alipambana na wakoloni sasa sisi tuko huru tunajitawala wenyewe unajua kuruhusu maandamano hovyo inaweza kutokea ya misri nchi yetu ni changa sana kubeba madhila hayo ni bora tuone mbali bora ungefanyika mkutano bila maandamano
Nina hofu na utaifa wako,ninahisi we si mtanzania!!na kama ni mtanzania ni miongoni mwa wale mnaotunyonya kama kupe,,na unajaribu kututisha ili tusikunyime usingizi.But all in all nakuhurumia na mlishachelewa,,kwa tanzania ya sasa na inapoelekea ya misri hayaepukiki tena Tanzania ndugu yangu,,,lakini kwani wasiotaka maandamano wamelazimishwa kuandamana???TUACHIENI WANYONGE TUANDAMANE NA TUFE KWA AJILI YENU
 
Haahaaahaaaaa! Wewe utatufaa sana MMU. Amekwambia hivyo ili usinikubali, anawivu sana huyo mama watoto wangu.

Nyie ogeni kwanza halafu twende MMU. Mengine tutaongea vizuri baada ya kufahamiana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hahaha mkuu MMU tena wewe na huko wapi na wapi???
 
maneno yako ni mazito mkuu huo umma unaousema kuna wanaokubali na wanaokataa maandamano wewe unasemaje?
kwani kuna aliyelazimishwa maandamano nchi hii???we endelea kushushia kinywaji chako kwenye hilo ghorofa lako hujalazimishwa kuandamana,ebo!!!
 
Haahaaahaaaaa! Wewe utatufaa sana MMU. Amekwambia hivyo ili usinikubali, anawivu sana huyo mama watoto wangu.

Nyie ogeni kwanza halafu twende MMU. Mengine tutaongea vizuri baada ya kufahamiana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ameniambia yeye ni mwanachama hai wa chadema ila wewe unamuwekea usiku na magamba wenzio kwahiyo Huku sitoki ili kumridhisha mama watoto wako
 
Huyu baadae mambo yanaponyooka ndiyo wa kwanza kufurahia kabla ya walioyanyoosha kuanza kufurahi
 
maneno yako ni mazito mkuu huo umma unaousema kuna wanaokubali na wanaokataa maandamano wewe unasemaje?

"Bwana akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao; nami nimeshuka ili niwaokoe na mikono ya wamisri, niwapandishe kutoka nchi ile, hata nchi njema, kisha pana; nchi ijaayo maziwa na asali; hata mahali pa Mkaanani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi" (Kutoka 3:7,8).

Hata Wana wa Israeli wakati wanakombolewa toka Misri, wapo waliopinga kukombolewa na kusema wameridhika na maisha wanayoishi wakiwa Misri, ila Musa hakukata tamaa aliendelea kuwahimiza kwamba wanapaswa kuondoka Misri.

Na walipoanza safari ya kuondoka Misri, walipofika bahari ya shamu waliogopa sana,
ndipo wana wa Israeli wakamgeukia Musa "Je kwa sababu hapakuwa na makaburi katika nchi
ya Misri umetutoa huko ili tufe jangwani?" (mstari.11).

Lakini Mungu alikuwa anajua nini kitatokea, alikuwa anawapima ili kuwafundisha waweze kumtumainia yeye,
Musa akawaambia watu "Msiogope, simameni tu mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo…BWANA
atawapigania,nanyi mtanyamaza kimya" (Kutoka14:13,14)

Hivyo nasi ktk vita hii ya kutafuta ukombozi halisi wa taifa hili tunapaswa kuondoa Woga, ingawa tunajua ktk process hii wapo watakao kufa ila ni bora tufe wachache kama sadaka ili watakao baki waishi maisha ya raha siku zote.
 
ndugu yangu naangalia interest za utaifa si familia
Kama unaangalia interest za utaifa tutokomezee wanaoiba meno ya tembo coz wanafahamika na wamepewa dhamana kubwa ndani ya chama cha magamba,wanaotanguliza uchama kuliko utaifa how can we deal with them tofauti na maandamano???NAKUONA KAMA MNAFIKI TU
 
kaka ben huwezi fananisha ujerumani na tanzania kumbuka kule kulikuwa na utawala dhalimu,,,, mandela alipambana na wakoloni sasa sisi tuko huru tunajitawala wenyewe unajua kuruhusu maandamano hovyo inaweza kutokea ya misri nchi yetu ni changa sana kubeba madhila hayo ni bora tuone mbali bora ungefanyika mkutano bila maandamano
SERIKALI YA CCM NAYO NI DHALLIMU SANA NA INAFANYA KILA YA AINA YA UDHALIMU KWA KUTUMIA MGONGO WA AMANI NA MNASAHAU KUWA AMANI NI TUNDA LA HAKI.WEWE UMETUMWA HATUNA MWANA CDM MWENYE MAWAZO YA UOGA KAMA WAKO AMBAPO KIMSINGI MTU MWOGa KAMA WEWE NI MDHAMBI MKUBWA.LALA NDANI UJIFUNGIE KABISA KESHO LAKINI WAPO WATU WALIOWATEULE WA MUNGU WATAJITOKEZA KWENDA KUWAPIGANIA WATANZANIA,MAPOKEZI YA KESHO KWA WABUNGE WETU,MASHUJAA WETU NI ISHARA YA KUWASHUKURU,KUWAPONGEZA,KUWAUNGA MKONO NA KUONYESHA TUKO PAMOJA KATIKA MAPAMBANO HAYA TOFAUTI NI MOJA KWAMBA WAO WAKO MSTARI WA MBELE NA SISI TUKO MSTARI WA MBELE NA HIYO NDIO FORMATION YA UWANJA WA VITA KWA MAJESHI.
TUMESHUHUDIA HADI JANA MAKAMABDA WETU WAKIPAMBANA KATI YA MAADUI WENGI-MACCM,ILINIUMA SANA KUONA KAMANDA MDEE AKIPIGANIA HAKI AKIUNGANA NA KAMANDA MNYIKA KTK HOJA YA CAG.KWA USHUJAA HUO NI JAMBO LA MSINGI TUKIWAPOKEA KAMA MASHUJAA.
 
Ameniambia yeye ni mwanachama hai wa chadema ila wewe unamuwekea usiku na magamba wenzio kwahiyo Huku sitoki ili kumridhisha mama watoto wako

Ole wako umlaghai aende kwenye hayo matembezi yenu yasiyokuwa na kichwa wala miguu halafu apigwe na kitu chenye ncha kali. Nitakufuata unipe "chakula cha usiku".

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kaka ben huwezi fananisha ujerumani na tanzania kumbuka kule kulikuwa na utawala dhalimu,,,, mandela alipambana na wakoloni sasa sisi tuko huru tunajitawala wenyewe unajua kuruhusu maandamano hovyo inaweza kutokea ya misri nchi yetu ni changa sana kubeba madhila hayo ni bora tuone mbali bora ungefanyika mkutano bila maandamano

Tunahitaji uhuru wa pili
 
Mkuu kwani lazima uje kuandamana si ubaki tu na mkeo na wakwe zako home mutazame nyimbo za diamond na mzee yusuph?
Pia ikiwa ni CHADEMA mnasema ni maandamano lakin kama ni maCCM na maCUF mnasema ni matembezi ya mshikamano..du......
 
Back
Top Bottom