Chonde chonde chama changu CHADEMA

Chonde chonde chama changu CHADEMA

Kwanza tangu lini wapinzani wakawa kitu kimoja Tanzania. Huu si uongo wa mchana kweupe kabisa huu.
 
mbona wao j.2 walitembea pale mbezi na folen kubwa waliweka. na polisi hawakuwazuia
 
Mbona matembezi ya mshikamano yanaruhusiwa? au kuna tofauti gani, CHADEMA songeni mbele! hiyo intelijensia feki ya akina MWEMA na KOVA isiwatishe!!!!!
 
Unajifanya unajua kiingereza Nenda kapambane na Kiranga akutoe jasho huko mkulima wewe

Hivi wewe ulishawahi kujibu hoja tokea ujiunge hapa JF? Mbona kila siku unachangia pumba tu? Huoni aibu?

Kuna uhusiano gani wa hiki ulichokiandika hapa na hoja inayoongelewa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Wandugu nawaomba viongozi na wanachama wote wa CHADEMA kuachana na suala la maandamano ya DSM nawashauri watii mamlaka zilizopo hata biblia inatuagiza.

Tutaumiza wanachama wetu bure chonde chonde jamani AMANI NI KITU CHA THAMANI KUBWA HAIPATIKANI KWA BEI RAHISI

ndugu nakuunga mkono sana, japokuwa kuna haki ambayo haikutendeka Dodoma, lakini sio sababu ya kusasabish vifo vya vijana wetu. Serekali inaonyesha imechoka kuwa vumilivu, na CDM imevuka mipaka mingi. Hayo maandamano ya kesho yasipo ahirishwa basi vif o vitatokea, kwani wanasiasa wanachochea vijana wa upinzani kuvunja sheria haipendezi. Polisi wakifanya kazi yao tusiwalaumu.
 
Jihadhari tu na wataalam hawa wa kurusha mawe toka CCM Makao Makuu wasije wakatia doa matembezi yetu ya mshikamano kichama leo hii:

attachment.php
 
kaka ben huwezi fananisha ujerumani na tanzania kumbuka kule kulikuwa na utawala dhalimu,,,, mandela alipambana na wakoloni sasa sisi tuko huru tunajitawala wenyewe unajua kuruhusu maandamano hovyo inaweza kutokea ya misri nchi yetu ni changa sana kubeba madhila hayo ni bora tuone mbali bora ungefanyika mkutano bila maandamano

WACHA NIDHAMU YA WOGA

Huu ni MWAKA WA NGUVU YA UMMA.

Halafu sipendi hii kauli ya nchi bado changa, yaani miaka 52 ya uhuru bado ni masikini na bado ni wachanga tu?
mtoto aliyezaliwa 1961 kwa sasa ana mjukuu ila we utamuona bado ni mchanga tu?

Musa angemtii Farao asingewakomboa Wana wa Israeli

Biblia inamasema "Tiini mamlaka inayowazidi ngivu"

Sasa tangu lini jeshi likaishinda Nguvu ya Umma?
Serikali ndiyo inapaswa kuutii Umma kwa kuwa Umma una nguvu kuliko serikali.
 
Hivi wewe ulishawahi kujibu hoja tokea ujiunge hapa JF? Mbona kila siku unachangia pumba tu? Huoni aibu?

Kuna uhusiano gani wa hiki ulichokiandika hapa na hoja inayoongelewa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wewe umejibu hoja gani? Peleka ma.......buri yako huko kwa magamba wenzio
 
ongelea suala la foleni. hata hivyo dar kuna barabara za pembeni mbali na mji si wawaruhusu kutumia hizo?
 
Hivi wewe ulishawahi kujibu hoja tokea ujiunge hapa JF? Mbona kila siku unachangia pumba tu? Huoni aibu?

Kuna uhusiano gani wa hiki ulichokiandika hapa na hoja inayoongelewa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kwanza huoni Aibu kujipa Id ya sumu wewe mkulima nyambafu
 
Wewe umejibu hoja gani? Peleka ma.......buri yako huko kwa magamba wenzio

Jitambue. Wenzako wanakucheka, kama siasa huiwezi njoo MMU tuwe tunashinda wote kule. Kuna watu muda wote wanatoa michango yao MMU lakini huku kwenye siasa sijawahi kuwaona hata siku moja kwasababu wameshajitambua.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jitambue. Wenzako wanakucheka, kama siasa huiwezi njoo MMU tuwe tunashinda wote kule. Kuna watu muda wote wanatoa michango yao MMU lakini huku kwenye siasa sijawahi kuwaona hata siku moja kwasababu wameshajitambua.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Huku umefuata nini? Kaa na mke wako huko MMU
 
tunapambana na mkoloni mweusi.hatutaki kutawaliwa,tunataka kuongozwa.....!

ungetumia nguvu hizi unazotumia hapa kumtaka au kumshinikiza spika kutenda haki na utawala dhalimu wa ccm kusikiliza matakwa ya umma ili yasitokee hayo ya misri kama ndiyo yanyaokutisha

wewe si ndie yule fisadi wa kisiasa, in english you are "political prostitute" hivyo kweli una sauti ndani cdm, wewe si umewauza wenzako kwa kuwasingizia. Wacha kumtukana rais wetu, aliye kupa uhuru wakuweza kuaandamana na kuropoka ovyo, enzi ya mkapa wewe si ulikuwa unatawa.
 
Huku umefuata nini? Kaa na mke wako huko MMU

Nimekuja kuwachukua watu waliopotea njia kama wewe. Twende zetu MMU, siasa zinahitaji watu wanaojua kujibu hoja.

Tunaenda sasa hivi au unaoga kwanza?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nimekuja kuwachukua watu waliopotea njia kama wewe. Twende zetu MMU, siasa zinahitaji watu wanaojua kujibu hoja.

Tunaenda sasa hivi au unaoga kwanza?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nisubiri naoga na mama toto wako Huku
 
Back
Top Bottom