SEHEMU YA 12
ILIPOISHIA:
Tofauti na siku zote ambapo huwa naitwa kwenda kula chakula na watoto sebuleni au jikoni, siku hiyo nilishangaa mtoto mkubwa wa baba mdogo akiniletea chakula chumbani kwangu na kuniambia eti mama yake amemtuma.
Ulikuwa msosi wa maana kwelikweli, ule ambao nimezoea kumuona baba mdogo akila, leo nilikuwa nimetengewa mimi.
SASA ENDELEA...
Sikulaza damu, nilianza kuufakamia kwa kasi kubwa kwa sababu shughuli za siku hiyo zilinifanya niwe na njaa sana. Ndani ya muda mfupi tu, tayari nilikuwa nimefuta kila kitu, sahani zikabaki tupu, nikashushia na maji mengi, tumbo likawa ‘full’.
Hapa napenda kuwamegea siri wanaume wenzangu hasa vijana, haya mambo ya kula chipsi mayai, sijui juisi na kalimati halafu ndiyo inakuwa imetoka, ndiyo yanayosababisha vijana wengi wanakuwa na matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume wawapo faragha.
Mtoto wa kiume inatakiwa ‘unafukia’ kisawasawa, chipsi na vyakula lainilaini waachie wanawake, ukichanganya na vyakula vingine kama mchuzi wa pweza, karanga mbichi, mbegu za maboga, mihogo na asali, unakuwa na nguvu kama simba dume, bila kusahau kupiga ‘tizi’ kila siku, mambo yanakuwa safi.
Basi baada ya kumaliza kula, sikuweza hata kutoa vyombo, nilivisogeza pembeni tu, nikajilaza pembeni ili shibe ipungue, hata sikumbuki nilipitiwa na usingizi saa ngapi. Nilikuja kushtuka usiku mnene baada ya kuhisi kuna mtu ananitingisha pale kitandani.
Nilikurupuka kwa hofu kwa sababu siku zote nilikuwa nalala peke yangu, iweje mtu aingie usiku huo? Ni nani na anataka nini?”
“Shiiiii!” nilisikia sauti ya mwanamke ikinituliza, nikagundua kwamba kumbe alikuwa ni mama mdogo, nilishtuka sana kwa sababu usiku huo alitakiwa kuwa ndani na mumewe, iweje awe ndani ya chumba changu? Baba mdogo akitoka ghafla na kugundua kwamba alikuwa magetoni kwangu itakuwaje?
“Yaani umelala bila hata kufunga mlango? Umechoka sana eeh!” alisema mama mdogo huku akiinuka na kwenda kuzima taa, wakati akitembea nilimtazama upande wa nyuma, nikajikuta natabasamu mwenyewe kwa sababu alikuwa amejifunga upande wa khanga tu na kama ujuavyo tena, ubonge wake ulisababisha eneo la nyuma liwe linatetema kwelikweli.
“Ma’mdogo hapana bwana, tutafumwa bure!”
“Tutafumwa na nani? Nimeshindwa kulala, yaani kila nilipokuwa nikiikumbuka shughuli ya muda ule mwili ulikuwa ukinisisimka, one for the road please.”
“Kwani baba mdogo si yupo ndani?”
“Anakoroma kama jenereta bovu, hebu achana naye bwana, mwanaume wa Dar es Salaam huyo,” alisema mama mdogo huku akiuachia upande wa khanga aliokuwa amejifunga, ndani hakuwa na chochote na kwa sababu na mimi nilikuwa nimelala kizembe kama kawaida yangu, hakukuwa na muda wa kupoteza.
Kitendo cha mama mdogo ambaye mwili wake ulikuwa na joto fulani hivi ‘amaizing’ kunikumbatia, kilisababisha mwili wote usisimke mithili ya mtu aliyepigwa na shoti ya umeme, mkuu wa kaya akaanza ‘kufyumu’ na ndani ya muda mfupi tu, alikuwa amekasirika kwelikweli.
Kwa kuwa sasa mazingira yalikuwa hatarishi, hakukuwa na muda wa kuremba, mama mdogo alimkamata mkuu wa kaya na kumpapasa kwa upole, naye akazidi kuwa ngangari, taratibu akamuelekeza sehemu ya kwenda! Ama kwa hakika ilikuwa burudani nyingine ya aina yake.
Mama mdogo alijisevia harakaharaka kama anayeogopa kufumwa na kutokana na papara alizokuwa nazo, hakuchukua raundi, akawa ameshakwea juu kabisa ya mnazi na kuangua dafu kisha kulipasua kwa nguvu.
“Ahsante mume wangu, ahsante baba,” alisema huku akinikumbatia kwa nguvu, akanimwagia mvua ya mabusu, akawa ni kama anataka pambano hilo lisilo na refa wala jezi liishie hapo lakini sikukubaliana naye kwa sababu alikuwa ameyaamsha mashetani na sasa ilikuwa ni lazima atii kiu yangu.
Tulibadilishana nafasi, yeye akawa upande wa chini na mimi upande wa juu, nikamuelekeza mkuu wa kaya kuelekea kwenye chungu cha asali na haukupita muda mrefu, tukawa tunaelea kwenye bahari ya kina kirefu ya huba, huku kimo cha mkuu wa kaya kikionekana kutaka kumzidia ma’mdogo.
“Taratibu baba,” alisema kwa sauti ya kulalamika, akawa ni kama ananiambia ongeza kasi, nikawa nampeleka ‘mputamputa’ na kwa mara nyingine, aliangua dafu, kubwa kuliko lile la mwanzo. Akiwa ni kama amechanganyikiwa, alipiga yowe na kama nisingewahi kumziba mdomo, huenda tungesababisha maafa makubwa.
Na mimi nikaongeza kasi na hatimaye nikafanikiwa kuzifumania nyavu kwa shuti kali lililotinga moja kwa moja golini.
“Utaniua wewe baba,” alisema mama mdogo huku akijizoazoa na kuinuka, akanibusu kisha harakaharaka akafungua mlango na kuchungulia kwa nje, alipohakikisha hakuna mtu, alitoka na breki ya kwanza ilikuwa bafuni, nikamsikia akifungulia maji ya bomba la mvua kwa wingi.
Niliinuka harakaharaka na kwenda kuufunga mlango kwa ndani, sikutaka kuwasha taa, nikarudi kitandani na kujibwaga kama mzigo. Muda huohuo, nilisikia geti la ndani kwenye chumba alichokuwa akiishi baba mdogo na mama mdogo likifunguliwa, mapigo ya moyo wangu yakawa yananienda mbio kuliko kawaida, nikajua sasa ukweli wote unaenda kujulikana.
Kuna akili zilikuwa zinanituma kuamini kwamba huenda baba mdogo alikuwa akituchungulia na baada ya kupata uhakika sasa alikuwa ametoka kuja kumaliza kazi.
“Mke wangu!” nilimsikia baba mdogo akimuita mkewe huku akisogea kule bafuni ambako maji mengi yalikuwa yanaendelea kumwagika.
“Abee mume wangu!”
“Umenishtua! Umeanza lini tabia ya kutoka nje usiku peke yako?”
“Joto mume wangu, nimeshindwa kabisa kulala kwa sababu ya joto, nikaogopa kukusumbua baba, ingia na wewe uoge, au husikii joto mwenzangu,” alisema mama mdogo kwa sauti yenye ushawishi mno.
Asivyo na akili, baba mdogo naye alishindwa kugundua kwamba alikuwa akiibiwa, akaingia bafuni na kuanza kuoga na mkewe, nikawa nawasikia wakiwa wanacheka, ama kwa hakika mama mdogo alikuwa amefuzu kwa utapeli.
Hiyo ilikuwa ahueni kubwa kwangu, nikajua hawezi kugundua chochote kuhusu mimi, nikawa najikoromesha kwa sauti ili baba mdogo ajue kwamba nilikuwa kwenye usingizi mzito.
Walitoka na kuelekea ndani, nikawa nawasikia wakiendelea na stori za hapa na pale huku mama mdogo akijichekesha sana, ama kwa hakika kuna wanawake ni wasanii sijapata kuona.
Waliingia ndani na kufunga milango, nikashusha pumzi ndefu na angalau moyo wangu ukarudi sehemu yake. Haukupita muda mrefu nikapitiwa na usingizi mzito na nilipokuja kuzinduka, tayari kulikuwa kumepambazuka.
Mwili wangu ulikuwa na uchovu usioelezeka, harakaharaka nikaamka na kukimbilia bafuni kwa sababu ilikuwa ni lazima niwahi kutoka ili nikapate samaki wazuri. Baada ya kumaliza kuoga, nilitoka na kuingia chumbani kwangu, mara nikasikia baba mdogo akigonga mlango, nadhani alikuwa anajua kwamba bado sijaamka.
“Vipi umeamkaje?”
“Salama, shikamoo baba,” nilimsalimia kwa adabu huku nikikwepesha macho yangu maana nilijua kama tukitazama na anaweza kugundua ‘uhalifu’ niliokuwa namfanyia.
“Mama’ako mdogo anakusifia sana kwamba siku hizi umebadilika kitabia. Safi sana, hayo ndiyo mambo ninayoyataka, nimekuleta mjini kutafuta pesa, siyo kuhangaika na wanawake wa mabarabarani,” alisema baba mdogo, basi nikawa natingisha kichwa kuonesha kwamba namuelewa sana.
Yaani wanawake bwana! Kama upo kwenye ndoa au uhusiano wa kudumu lakini ghafla ukaanza kuona mwenzi wako anamsifia sana mwanaume mwingine, bila kujali anayesifiwa ni nani, unatakiwa kuwa makini sana.
Anaweza kuwa anasifiwa ‘house boy’ ukapuuzia kumbe anasifiwa kwa sababu mkeo kampenda! Yaani eti mama mdogo leo ndiyo alikuwa mtu wa kunizungumzia mimi vizuri kwamba eti nimebadilika? Baba mdogo alitakiwa kujiongeza sana lakini ndiyo hivyo alishindwa.
Nilimalizia kujiandaa, baba mdogo akatoa fedha za kuchukulia mzigo na kunipa, nikamshukuru na bila kupoteza muda, nilitoka mbiombio na safari ya kuelekea feri ikaanza.
Je, nini kitafuatia?