HahaaHuyu jamaa mwenye vest huyuu sio naniliu huyuuu?
Nani kakwambia, hapo wanainua uchumi wa nchi kwa kuongeza kodi, unaponunua vinywaji kwa wingi ndo kodi inakuwa kubwa.Duh! Nguvu kazi ya Taifa inapoteketea.
Na kuua hayo maini yao umefikiria pia?Nani kakwambia, hapo wanainua uchumi wa nchi kwa kuongeza kodi, unaponunua vinywaji kwa wingi ndo kodi inakuwa kubwa.