chitchat best forum jf

Dah! ndio naiona hiyo sredi sasa, maana naona naye Nazjaz akaniita huko MMU kwa tenda hiyo hiyo...tatizo sijakizi vigezo mikono yangu ishakuwa na makunyanzi ya uzee...

hawa wanawake watatumaliza mwaka huu
 
Last edited by a moderator:
Hahaha...huyu mdhungu nimeanza naye tokea kibarazani kule Utambulisho...hamadi nikaja kutana naye hapa kijiweni basi ndio stori zikanoga...
Halafu weweeee nikikukamata...

watu8 mpendwa naona huyu mzungu kakuvutia eeh
 
Hahaha...huyu mdhungu nimeanza naye tokea kibarazani kule Utambulisho...hamadi nikaja kutana naye hapa kijiweni basi ndio stori zikanoga...
Halafu weweeee nikikukamata...

hahaha kwahiyo wamuonyesha maeneo mgeni? Utafanyaje?
 
hahaha kwahiyo wamuonyesha maeneo mgeni? Utafanyaje?

Huyu ndio Obama wetu hapa CC, namuonesha fursa mpya za uwekezaji...

Nitang'ata...hahahah, nitakucheck mida mida!!!
 
Huyu ndio Obama wetu hapa CC, namuonesha fursa mpya za uwekezaji...

Nitang'ata...hahahah, nitakucheck mida mida!!!

oh owkey.. Hahaha poa wil be waiting
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…