Chademo ni ya watu fulan.
Bora katoka.kwa sababu kama hajatoka ukanda wa sehem fulani ilikua ile kwake.Bado mnyika
Aliyekuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa lindi ndugu aly omary chitanda amejiunga na ccm huko nyumbani kwao nachinwea mkoani lindi,chitanda amesema ameamua kujiunga na ccm baada ya kugundua kuwa vyama vyote vya upinzani machoni vinaonekana kama taasisi kumbe kiuhalisia ni kundi la watu wanaofanya biashara ya siasa,my take chitanda umepotea njia,ccm haiwezi kurudi katika misingi yake,
Hongera Bwana Chitanda,nami nakufata nyuma.
ngoma inogileeeeee, chadema kwisha habari yake
Chitanda; msalimie Lamwai na Tambwe Hiza, waambie karibu nchi itakombolewa.
angalia kwanza matatizo na uchafu wa ndani ya chadema uliomtoa chitanda.ndio umgeukie yeye
Mwigulu ameshakuwa naibu wa fedha unategemea nini kwa watu wavivu wa kufanya kazi?
Kwani chadema ni chama au Mradi wa mtu huo. Zindukeni nyie mlolala.Mnakua kama mmelishwa unga wa ndele! Suala la ukanda litawamaliza
Njaa zake....Nilitegemea angeenda kutumia taaluma yake kama anayo! Kumbe kujiunga CCM ndio suluhisho?
Njaa imemrudisha kwa mafisadi.