Chitanda ajiunga na CCM

Chitanda ajiunga na CCM

Kilichopo ambacho watu wengi hasa vijana hawataki kuamini ni kwamba............kwawale woote walisoma shule za msingi kabla ya 1992....kulikuwa na siku maalumu katika wiki wanafunzi wanaapishwa kiapo cha kuitii na kuitumikia TANU/CCM kwa moyo na nguvu zote...........huku mwihoni tukisema ''eehhh Mwenyezi Mungu Nisaidie''..........kiapo hiki waliapa pia akina Slaa,Mtei,Lipumba,Mrema nk......so ni ngumu kuwa wapinzani wa kweli kutokaana na viapo walivyofanya awali ndio maana kila kukicha ni kufukuzana , kuitana wasaliti nk..........ukweli ni kwamba vijana wengi wenye miaka chini ya 25 wanaweza kuwa wapinzani wa kweli ila viongozi wengi wa upinzani sio wa kweli...........!

Kuna wakati kama hujui kitu ni bora kunyamaza kuliko kusema kwa hisia na kuonyesha up.um.bavu wako.Wako watu wengi hawajawahi kuiamini ccm kabla hata ya vyama vya upinzani kurudi mara ya pili.Suala la mtu kununuliwa na ccm ni la kibinafsi.Huyo Chitanda si ndiye kundi lenu na huyo zitto?Kwa nini wewe hujaenda wakati unaonekana unawatamani wasaliti?Huwezi kuleta confusion CDM kwa maneno yako! kanuni ambayo shetani huitumia ili watu washindwe kujua Mungu ni nani na ndiyo kanuni mnayotumia wafuasi wa zzk ili watu wasijue tofauti kati ya ccm na vyama vya upinzani chitanda akiwa mmoja wao na kwa mchango wako naona hata wewe ni mmoja wa😵le wako basi!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mpinzani wa kweli akitoka kwenye chama chake ataenda kwenye chama kingine cha upinzani.Swali kwa Chitanda,je yale mabovu ya chama tawala uliokuwa ukiyanyoshea kidole yamerekibishwa?Chitanda njaa itakuaibisha ndg yetu.wewe si mpinzani wa kweli.
 
Waingereza wanasema "Don't chew curd". Maanake usicheue kama n'gome na mbuzi wafanyavyo usiku. Kurudi CCM ni kama kucheua. Chitanda amecheua!
 
Kuna wakati kama hujui kitu ni bora kunyamaza kuliko kusema kwa hisia na kuonyesha up.um.bavu wako.Wako watu wengi hawajawahi kuiamini ccm kabla hata ya vyama vya upinzani kurudi mara ya pili.Suala la mtu kununuliwa na ccm ni la kibinafsi.Huyo Chitanda si ndiye kundi lenu na huyo zitto?Kwa nini wewe hujaenda wakati unaonekana unawatamani wasaliti?Huwezi kuleta confusion CDM kwa maneno yako! kanuni ambayo shetani huitumia ili watu washindwe kujua Mungu ni nani na ndiyo kanuni mnayotumia wafuasi wa zzk ili watu wasijue tofauti kati ya ccm na vyama vya upinzani chitanda akiwa mmoja wao na kwa mchango wako naona hata wewe ni mmoja wa😵le wako basi!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Maneno yangu ni mepesi yenyekueleweka..........nakuambia mambo yatakaaa sawa kwa upinzani hadi pale mnaowaita waasisi wa upinzani waishe.........ili sasa ije damu mpya ya uongozi ya vijana niliyokuambia hapo ni upinzani wakweli utakuwepo kwa sera za CCM, wafuatao walihama CCM si kwa sababu ya sera mbovu bali ni kupata nafasi ya kugombea ubungea au uraisi, ndio maana mara kwa mara utawasikia majukwaani wakikumbatia CCM ya mwalimu na Azimio la Arusha;

Slaa,Mbowe,Mbatia,Cheyo,Lipumba,Mrema,Prof.Safar, Marando...........nk
 
hata katika maandiko wameandika kuwa watakoa vumilia mpaka mwisho ndio watakao okoka,tofautisha siasa ajira na siasa misingi na itikadi
 
Watu mnalichukulia hili kama la kawaida kwakuwa ni Lindi(peripheral) ila ingekuwa dar........!!
 
amhamasishe na ZIto asipende kung'ang'ania mahali ambapo hatakiwi
 
huyu jamaa nafanya siasa kwa manufaa yake, mtu ambaye yupo kwenye siasa kwa manufaa ya nchi yetu awezi akajiunga na ccm hata siku1, vile vile kutoka upinzani kwenda ccm nikujimaliza kisiasa.
 
njaa huyu! lkn tumuache huwenda akapata kaela ka angalau akajenga kageto ka chumba kimoja! Maana anajikunjaga mabandani kwenye nyumba ya bibi yake.
 
Kwani lini aliacha kuhama vyama, karibu kila chama keshahamia. Kaanzia CCM Kaja NCCR then NCCR Mageuzi, then TLP then Chadema now back CCM. Malaya atabaki malaya

Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa lindi ndugu aly omary chitanda amejiunga na ccm huko nyumbani kwao nachinwea mkoani lindi,chitanda amesema ameamua kujiunga na CCM baada ya kugundua kuwa vyama vyote vya upinzani machoni vinaonekana kama taasisi kumbe kiuhalisia ni kundi la watu wanaofanya biashara ya siasa,my take chitanda umepotea njia,ccm haiwezi kurudi katika misingi yake,
 
Kwa wale 'waumini wa kifo cha cdm', mnaona sasa kuwa kuendelea kumshikilia MM ilikuwa ni hatari kwa chama!? Hawa wote wanadai kuwa wafuasi wake na na hata katibu wao ambaye ni msomi kwa ngazi ya PhD anasema atafutwe mbadala wa cdm!
Nadhani Chitanda kafanya vizuri kwa kuonyesha hisia za kweli kwa kurudi kule anakokupenda badala ya kwenda kuvivuruga vyama vingine au kwenda Mahakani na kupotezea watu muda.
Nchi ni masikini na inahitaji watu wenye upeo na moyo wa kuiona Tanzania yenye neema hata kama hawafiki 1% ya Watanzania naamini watatuvusha kwa maana hata hao wanaoharibu nchi hii hawafiki 2% pia.
 
Back
Top Bottom