Chit Chat nipokeeni mimi ni member Mpya humu.

Chit Chat nipokeeni mimi ni member Mpya humu.

naona msimu mwingine umewadia...
hivi ni nini maana ya kupiga picha na kuonesha mshundundu
 
Wewe nishakugundua. . . Wala siyo mgeni hapa. . Dadadeki. . !!
 
Ukubwa wa mkate, kiboko yake chai tu.
 
Japo Majukwaa mengine wanawaponda eti hamfai, lakini mimi nawapenda sana.
Naomba mnipokee
images

Ushauri wa bure
Itabidi uilipe JF kwa matangazo ambayo unayoyatoa humu
Vile vile ulipe kodi kwa biashara ambayo unayoifanya
Anyway karibu chit chat
 
Ili mjue kama nimejaliwa.

Halafu tukishajua kuwa umejaaliwa???
Maana mi najua makalio yana kazi moja tu...
Yawe makubwa au madogo, yote kazi yake ni kutusaidia kukaa chini...
Mbaya zaidi ndipo zilipo chemchem za kinyec huko...
Sasa wewe uliyejaaliwa nina wasiwasi kila wiki gari la manispaa linakuja kuvuta makimba...
 
hivi miss chitchat bado ipo? maana nahisi msimu huu kutakuwa na ushindani mkubwa , au Ruhazwe JR alikimbia na mishiko ya charminglady ndo ikawa basi tena?
 
Last edited by a moderator:
hivi miss chitchat bado ipo? maana nahisi msimu huu kutakuwa na ushindani mkubwa , au Ruhazwe JR alikimbia na mishiko ya charminglady ndo ikawa basi tena?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom