Chit Chat nipokeeni mimi ni member Mpya humu.

Chit Chat nipokeeni mimi ni member Mpya humu.

Japo Majukwaa mengine wanawaponda eti hamfai, lakini mimi nawapenda sana.
Naomba mnipokee
images
ID yako ya zamani ni ipi?
 
The secretary,unakumbuka maneno haya niliyokutamkia tarehe 24/june/1981?
The secretary,
Pokea pete hii,
Iwe ishara ya upendo
Na uaminifu kwako,
E Mungu nisaidie.
Wayakumbuka darling?

Makubwa haya huo mwaka hata mama yangu hajafikiria kuna siku atanileta duniani au kuna mke mwenza umechanganya halafu huyu mgeni wenu sijui ndo mndali au Mary atawaletea kasheshe.
 
Last edited by a moderator:
He! We Katungunya una ukoo na Raiza? Mbona umemjibia swali ake?

Mbon shafooo Palooo Paloma, umesoma hii makitu?

Afu unasemaga mi mnoko..... mi nakasirikaga mimi...waaaaaiiiiii!!!

unasemaje??
malizana na wanawake zako huko huko usinishirikishe
 
Last edited by a moderator:
Makubwa haya huo mwaka hata mama yangu hajafikiria kuna siku atanileta duniani au kuna mke mwenza umechanganya halafu huyu mgeni wenu sijui ndo mndali au Mary atawaletea kasheshe.

Baby The secretary acha kunzeesha! Kha!
Ujue nakupenda sana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom