Dadake Asuttu
Member
- Apr 2, 2013
- 37
- 68
Japo Majukwaa mengine wanawaponda eti hamfai, lakini mimi nawapenda sana.
Naomba mnipokee
Naomba mnipokee
Ndio pozi gani hilo?
Mbona hamniamini?
karibu sana naona umetuwekea pozi
Dogo usijishtukie banaaa
Karibu! Ila chiriku mzee akamatwi kwa makapi
............na debe tupu haliachi kutika.
dawa ya puto sindano
Ndio pozi gani hilo?
hatudanganyiki eti majukwaa mengine wanawaponda humu ni makavu laivu tu baada ya muda nitakubamba tu.
.............. na raha ya Barabara, Makutano.
![]()
hatudanganyiki eti majukwaa mengine wanawaponda humu ni makavu laivu tu baada ya muda nitakubamba tu.
karibu sana naona umetuwekea pozi