Chit Chat nipokeeni mimi ni member Mpya humu.

Chit Chat nipokeeni mimi ni member Mpya humu.

Hehehe asproo huyu kitunguu...watever her name is...hukuwa naye leo kweli? Khaa nakuvulia sidiria walah!
He! We Katungunya una ukoo na Raiza? Mbona umemjibia swali ake?

Mbon shafooo Palooo Paloma, umesoma hii makitu?

Afu unasemaga mi mnoko..... mi nakasirikaga mimi...waaaaaiiiiii!!!
 
Last edited by a moderator:
Hehehe asproo huyu kitunguu...watever her name is...hukuwa naye leo kweli? Khaa nakuvulia sidiria walah!

hapo umeshaondoka????
huyu katu nini sijui ni nani Asprin tuambie hapa
 
Last edited by a moderator:
Mzima mpenzi Raiza, umeniita nikuitike labeka?

nilikuwa nimekumiss tu my swrty nikupendae

He! We Katungunya una ukoo na Raiza? Mbona umemjibia swali ake?

Mbon shafooo Palooo Paloma, umesoma hii makitu?

Afu unasemaga mi mnoko..... mi nakasirikaga mimi...waaaaaiiiiii!!!

unasemaje??
malizana na wanawake zako huko huko usinishirikishe

Asprin............stop babbling!!!:tape2:
 
Last edited by a moderator:
kwa kuwa wewe baba umejitia ushenga naomba majina ya mahawara zake wa sasa na wa nyuma na wakeze+na nyumba ndogo zake na vimada waorodheshe plis

Raiza.. Uko tayari kutajiwa mai waifu wa Arushaone pamoja na nyumba ndogo na vimada na mahawala na videnishi na masamsingi na mashangingi na maguberi..?
 
Last edited by a moderator:
Raiza.. Uko tayari kutajiwa mai waifu wa Arushaone pamoja na nyumba ndogo na vimada na mahawala na videnishi na masamsingi na mashangingi na maguberi..?

hahahaha sosoliso ukiona yupo kimya jua kakimbizwa ICU, Na akijibu jua ni mzoefu so hakuna jipya.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom