chit chat kwa nini tunaandamwa jamani?

chit chat kwa nini tunaandamwa jamani?

Emu jiulize,ni jukwaa gani humu ambalo member hawatofautiani kidini,kisiasa,kijinsia na hata kikabila.Wote ni full mshikamano,upendo.Ukingia cc full shangwe hata kama umeboleka utafurah tu,mi kwangu niajabu nakaribia kumaliza mwaka bila ban kwakua niligundua nikienda majukwa mengine nikacomment bas nianze kuhesabu siku lazima kitasa kinipitie lakn toka nijichimbie cc ban kwangu ni ndoto
 
Wivu unawasumbua tu,unajua shetani hapend kuona jamii inapendana,wameoana,wanacheka,...Inafikia hatua mtu akienda mkoa mwingine watu wanakutana kwa kufuraha bila wasiwas,mtu akifiwa watu wanafika msibani.Yote hayo ni sababu ya chitchat,majukwa mengine nikujenga uadui tu.Chitchat inaupako ndio maana upendo umetawala,hawa maibilis wanakuja kututafutia ban wakat sie tumeikimbia huko majukwa ya siasa.Washindwe na walegee

Alleluhya,eimeen.
 
Hana jeuri hiyoo, anapata vitu ambavyo hawezi pata kutoka kwa mtu mwingine!! Au nimlete hapa now now?

Huna ubavu wa kumleta hapa wewe,ukimleta ka nokia tochi.
 
Emu jiulize,ni jukwaa gani humu ambalo member hawatofautiani kidini,kisiasa,kijinsia na hata kikabila.Wote ni full mshikamano,upendo.Ukingia cc full shangwe hata kama umeboleka utafurah tu,mi kwangu niajabu nakaribia kumaliza mwaka bila ban kwakua niligundua nikienda majukwa mengine nikacomment bas nianze kuhesabu siku lazima kitasa kinipitie lakn toka nijichimbie cc ban kwangu ni ndoto

Hapa ni name calling kwa kwenda mbele,tena nilisahaujana nimemwona Zinduna akipiga deiwaka stageshoo ngwasuma,nasikia alilipwa elfu tano.
 
Last edited by a moderator:
wahaya walisema 'omufu nashekelela omujunde' KOKUTONA njoo utafasiri hapa.

Ha ha haaa Bishanga utanilinda? Sitaki kupigwa ngumi. Tafsiri "MTU ALIYEKUFA ANAMTAKA MTU ALIYEOZA" Mwisho wa kutafsiri, sasa kati ya hao nani kafa nani kaoza?
 
Last edited by a moderator:
Watuwache Tupumuweeeeeeeeeeeeeee,kwani huwa wanaitwa na nani huku..au wanamuonea wivu Asprin na wake zake......
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa Bishanga! Watuwacheeeee!!!
Tupumuweeeeee!!!
Miaka 900!!!
Niliwaona jana walivamia pale kwenye sticky yangu hapo juu na kuanza matusi Kama hawapendi humu kwanini Rejao zomba Mungi PakaJimmy tuko wote siasani then twakutana humu CC?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niaenze kuwararua!!
Unajua most ya members wa chit chat ni watu ambao wapo wapo tu???
siasa zimekushinda nini mkuu.....au siku hizi hakuna mada za kulipwa posho na lumumba
 
siasa zimekushinda nini mkuu.....au siku hizi hakuna mada za kulipwa posho na lumumba
huku pakumzikia tu.....BTW, kwenye siasa sioni kipya cuz TZ hamna tena upinzani!! Ngoja wana CCM tusherehekee hizi sikukuu kwa raha zetu!!
 
hahahaahaha....lazima nikushtaki kwa Invisible!! Huwezi chakachua post yangu bila ridhaa yanguuu!!!

Hahahaaaa saahizi mods wote wamejiexport kula raha za xmass wameuacha Roulette peke yake kule jukwaa la siasa huku hakuna ulinzi Rejao
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niaenze kuwararua!!
Unajua most ya members wa chit chat ni watu ambao wapo wapo tu???

Heheh!

Pua kama konzi ya mwizi!
Twende twende . . . . . macho kama mjusi kabanwa na mlango.
Twende twende . . . . .mdomo kama kikojoleo cha jorowe!
 
Back
Top Bottom