chit chat kwa nini tunaandamwa jamani?

chit chat kwa nini tunaandamwa jamani?

bora mi naweza kupaka carolite ila wewe hilo lipua kama mundu. Yaani wewe ukidondokea pua lazima iletwe sururu la kuchimbua
Hilo domo lako hulioni???? bora limpua langu...linafanya kazi maalum
 
TANMO kazidi aisee alipiga umbea nikataka kuachana na my wife

Keni yuu imajini kuwa sosi ya ile habari ni Bishanga Abashaija a.k.a Bepari la Kihaya a.k.a Mdhamini Mkuu wa JF Udaku?
TANMO anatumika kama daraja tu, maana ndiye mhariri mkuu na anaandika habari kwa shinikizo la Mdhamini wake, Bwana Abashaija.
 
yamekuwa hayo? Halafu una bahati wewe Zinduna hajakumulika na kurunzi lake.
 
Last edited by a moderator:
wahenga walisema 'mwembe wenye matunda ndo hupopolewa mawe',si bure tunaonewa gere,iko namna machichater tume win jf kwa ukaribu wa members wake.Vinawauma.Vinawatesa.Vinawakaba koo.Siku nyingine mtu akituchokonoa tutupiane PM au sms chapchap tuingie kwenye hiyo post tumrarue mbaya wetu.Watatukomaje 2013?

Ikiwa karibu na sikukuu unakuwaga na miakili mingi kama nini yaani. Unajua kuna mijitu inataka wote tuwe na stress kama yenyewe,full time mipovu ku mdomo, yanapoona sie muda wote tumeweka shida chini tunarusha mikono juu kinawakaba ku moyo. Hawajui kuwa hapa When life gives us lemons we break the tequila. Viva chit chat wenye wivu wakajipake Pollonium 210
 
polonium...dah! Ilimmaliza yule mrusi london.
 
Ikiwa karibu na sikukuu unakuwaga na miakili mingi kama nini yaani. Unajua kuna mijitu inataka wote tuwe na stress kama yenyewe,full time mipovu ku mdomo, yanapoona sie muda wote tumeweka shida chini tunarusha mikono juu kinawakaba ku moyo. Hawajui kuwa hapa When life gives us lemons we break the tequila. Viva chit chat wenye wivu wakajipake Pollonium 210
hahahaha! mwl mwenzangu wajipake POLLONIUM 210?? utaua watu khaa!
 
Wivu unawasumbua tu,unajua shetani hapend kuona jamii inapendana,wameoana,wanacheka,...Inafikia hatua mtu akienda mkoa mwingine watu wanakutana kwa kufuraha bila wasiwas,mtu akifiwa watu wanafika msibani.Yote hayo ni sababu ya chitchat,majukwa mengine nikujenga uadui tu.Chitchat inaupako ndio maana upendo umetawala,hawa maibilis wanakuja kututafutia ban wakat sie tumeikimbia huko majukwa ya siasa.Washindwe na walegee
 
Back
Top Bottom