chit chat kwa nini tunaandamwa jamani?

chit chat kwa nini tunaandamwa jamani?

ma chit chater wachache ambao nimebahatika kukutana nao ni watu wazuri,waelewa,wanajiheshimu,hapa CC wanachotafuta ni kicheko.Tatizo kuna watu wanajiona wao uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa kuliko wa wakina bishanga,wangejua.....

hao ndio mapoyoyo.
sasa wangejua kwamba humu kuna watu hata ukiwakuta utashangaa sana na kukaa hapa CC ni kama njia ya kupunguza stress manake amekuwa amedumu na mavitu magumu siku nzima na hayaish. waje kwenye maofc ya ma CC aone kazi wanazofanya lol!
 
wahenga walisema 'mwembe wenye matunda ndo hupopolewa mawe',si bure tunaonewa gere,iko namna machichater tume win jf kwa ukaribu wa members wake.Vinawauma.Vinawatesa.Vinawakaba koo.Siku nyingine mtu akituchokonoa tutupiane PM au sms chapchap tuingie kwenye hiyo post tumrarue mbaya wetu.Watatukomaje 2013?

Halafu mwakani upunguze Umbeya we M'baba..
 
mi nimechacha mtaninunulia?

aaah! Bishanga hata wewe bepari lol!
usjali nitakununulia moja za kuendelea juu yako wapi sasa?? sema fasta niweke mipango ya nyumban fresh nianze safari lol!
 
Last edited by a moderator:
Yaani bora hata hili lipua langu...
Hebu angalia kazee kama Bishanga kanashinda huku 24/7 kanatafuta nini?
J

bora yeye mzee anatafuta vimwana na anawapata kweli kwa mijihela yake wenyewe wanakwambia swt wangu Bishanga ana mate marefuuuuuuuuuuu tena matam uspime.

sasa wewe na mpua wako huo nani akutake?? angalia tu kwanza membership status yako inamgogoro utajilinganisha na zee la mate lenye m-TANZANITE??
 
umenikunaje? Una akili sana wewe.
 
Last edited by a moderator:
bora yeye mzee anatafuta vimwana na anawapata kweli kwa mijihela yake wenyewe wanakwambia swt wangu Bishanga ana mate marefuuuuuuuuuuu tena matam uspime.

sasa wewe na mpua wako huo nani akutake?? angalia tu kwanza membership status yako inamgogoro utajilinganisha na zee la mate lenye m-TANZANITE??

Bishanga hivi ni ya kweli haya?
 
Last edited by a moderator:
machichater hivi kuna mbeya kuzidi TANMO?

Mkuu wewe unanizidi.
Kwanza umejitolea kulidhamini JF Udaku alimradi umbeya uendelee.
Pili, asilimia 98 ya Udakuz kwenye lile Gazeti sosi ni wewe
Tatu, kila siku lazima uje na umbeya kwenye sredi zako.
Nne, Mpaka mwaka unaisha umeshasutwa mara kibao, mpaka umekuwa sugu wa misuto.
Tano.................nitarudi
 
Back
Top Bottom