Chit-Chat kununua Tour Bus

Hebu nikane hapa mbele ya public my Paloma....maana sasa sikuelewi kabisaaaaa
Vin Diesel nakuangalia tu unavorukaruka na kuomba misamaha!!!...........soon ntatoa tangazo humu..!!!

Inawezekana unatumia mtama wakutengenezea pombe tumia mtama wakula!uone ndege tunduni!
KakaKiiza!!!

Huyu ndege yupo tunduni....anaruka ruka tu hapo mtini...hapa hatoki...

nimeshakwambia hauko siriaz wewe Vin Diesel:cell:
 
Last edited by a moderator:
duh! Wewe nomaa mie mmoja tu huyu ananipeleka puta lakini wewe kijiji kizima cha chit-chat unakipeleka puta

Slave ni aje jamaa angu....shida ni gani mpaka upelekwe puta tena.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hiyo tour bus itabeba watu wangapi, Vin Diesel anao wanawake kama 14 na wote watataka kusafiri.
 
Last edited by a moderator:
Huyu ndege yupo tunduni....anaruka ruka tu hapo mtini...hapa hatoki...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kamavipi tumia mbinu za kunasa kunguru siunajua!au tumia chandarua mambo kama hayaendi!
 
Ili uendeshe hilo basi, kwa mganga lazima, uzuri mi nipo karibu naye

Yah.....yule wa Pangani.......mzuri kweli......kila kitu kinakwenda kama kilivyopangwa.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…