Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Slave hapa nasema tena i am serious Vin Diesel miye sikuachi fanya mbwembwe zako lakini mikononi mwangu hautatoka tena.
Slave hapa nasema tena i am serious Vin Diesel miye sikuachi fanya mbwembwe zako lakini mikononi mwangu hautatoka tena.
tayari anza kazi yako. Afu charminglady nitupie PM 1 ukinijuza kuhusu kupotea kwa my waifu wangu tu bii.au ndo kaanza kukaa ndani akisubiri ndoa?
aaaah! Bad news! Mamndenyi njoo unishike naweza kuanguka na kupoteza fahamu oooh! Vin Diesel mie kweli wakunifanyia hivyo kweli?tena napiga picha huko waliko nazidi kuumia
embu Mamndenyi nakuomba mara moja tukutane PM Tupange fumanizi.
Slave hapa nasema tena i am serious Vin Diesel miye sikuachi fanya mbwembwe zako lakini mikononi mwangu hautatoka tena.
Nashukuru kwa kuniruhusu kucheza mechi za kirafiki.....u mke mwema Mamndenyi...
What dya min Vin disel na Mamndenyi? Slave unataka nikupige na kitu kizito kichwani?Naamini imetoka mbali sanaa.pamoja na changamoto zinazoisonga lakini bado ni imara na inazidi kupata wageni wapya kila siku,mwanzo kabisa mie nilikuwa naingia kwa beep hatimae nimepiga kabisa. Napata furaha sana ninapo mcheck Vin Diesel akiwa na Mamndenyi huku pembeni namuona charminglady na baba yake watu8 pia nawaona dada zangu wapenzi king'ast na Arabela kwa mbaaaali namuona my waifu wangu mtarajiwa Evelyn Salt akiwa katika pozi lake matata. Mh! Kwakweli tumetoka kuleeee!
Slave hapa nasema tena i am serious Vin Diesel miye sikuachi fanya mbwembwe zako lakini mikononi mwangu hautatoka tena.
Vin Diesel .......... hasira punguzaaaaaaaaa........
ngoja naandaa sensa
Bishanga mambo vipi, hapa lazima nijipendekeze kwako manake Vin Diesel yuko on the way kuniacha. Unajua nini najipanga tusaidiane kulipa ile hela ulomhonga The secretary ili mradi niinusuru nyumba.