CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

mafaili yamekuwa mengi aisee.... Naomba uje kunisaidia kuyapanga Madame B ... Nasikia wewe ulisomaga data management na mambo ya tanga univesiti.... Unafaa aise
 
Last edited by a moderator:
Acha ajichekee, mtoto mkali kuliko njaa. Hadi wanawake wenzie kina Mzungu Hunbig ana mzimia. Chezea wewe!!

Umeona ee?
Sema we Kiazi, Nikisema mie Muhogo nitaambiwa nina Mzizi.
Natisha kama njaa,
nateleza kama mlenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…