CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Ngoja nikutoe tongotongo...naona ushaanza mazereuuu!!
measkron ndio mke wangu, ndio laaziz wangu, mwandani wa moyo wangu na mama wa watoto wangu charminglady, WiseLady, sweetlady na Davie S.M...
Una jingine??
naona sasa macho yanakutoka eenh!!! proudly dad
SIKU YEYOTE AMBAYO TUMEPANGA MAANDALIZI YA HARUSI KWANI WEWE ULITAKA WAOANE LINI? watu8
Mpe mpe daddy... anadhani umezeeka weye!!!!!! :bowl: :bowl: :rofl:
mambo ladyfurahia! Eti hata kuna nini kinaendelea?
Thnx Donn
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
ladyfurahia umepata like zangu ngapi?
mambo ladyfurahia! Eti hata kuna nini kinaendelea?
yaani ni nyingi tu mpaka nashindwa kuzisoma ati! sasa wewe umejiunga au unalike tu watu humu bachelani
Mpe mpe daddy... anadhani umezeeka weye!!!!!! :bowl: :bowl: :rofl:
ss apo dad yako tu ndo anaipa vipande mkiungana si nitaugua kabisa?
hayajanitoka ila nimetia heshima...
hivi kwanza wewe ni ME au KE? nina wasiwasi ulikaguliwa wakati TANESCO wamekata....
shukrani kwa heshima...
halafu katoto kenyewe hata sijui jinsia yake...kana mazereu kama askari wa jiji!!!
..... aaaah bana...nishatia heshima tayar
halafu mbona posts zako chache mno...??? nisaidie ile ID yako nyingine nataka kukutumia PM huko