Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Ulinzi nimeisha kuambia sitaki
poa... ngoja tukae kikao kukujadili... Unaweza pata hata ulinzi aise
poa... ngoja tukae kikao kukujadili... Unaweza pata hata ulinzi aise
Maneno ya watu yameleta migogoro katika uhusiano wetu basi sina namna hapa nmekuwa mpole tu roho inauma Donn acha tu
Usihofu mpendwa... Karibu upate pumziko
Nipeni nafasi ya Uwekahazina.
Nipeni nafasi ya Uwekahazina.
kila la heri...? Akaribie C.C.B
na mimi naomba kumb namba
na mimi naomba kumb namba
Kamata hii ®C.C.B/552
Hivi mtaoa na kuolewa lini???
Namaanisha nime wapiga chini wote, kama wapenda makombo nenda ukale.
Hivi mtaoa na kuolewa lini???
best upo, ndoa hainunuliwi kama pipi au nguo, hivi wewe uliwezaje