measkron
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,782
- 2,418
mimisa natumaini mume wangu kipenzi watu8 amekufafanulia sihitaji kuongeza, karibu nyumbani kwetu lunch jumapili baada ya ibada....Ngoja nikutoe tongotongo...naona ushaanza mazereuuu!!
measkron ndio mke wangu, ndio laaziz wangu, mwandani wa moyo wangu na mama wa watoto wangu charminglady, WiseLady, sweetlady na Davie S.M...
Una jingine??
Last edited by a moderator: