CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

Oky ingia humu ndani utatukuta tumetulia kama pishi la mchele langojea kuingizwa katika tui la nazi karibu na anza kuonja hii juice kidogo nimekutumia hapa JUICE 2.jpeg na chagua uipendayo hapo jerrytz
huku zanzibar pia tupo mabachelor!tuwasiliane jamani japo tupate juice hapo forodhani
 
naam! ngoja niandae silaha zangu muhimu kwa ajili ya shughuli hiyo:
1. Pilipili
2. Ndimu au Mbilimbi
3. Ndizi

itabidi nikualike kwenye ubweche wa kwangu maana naona una kiu na njaa ya kupata ikitu hicho
 
Back
Top Bottom