Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,365
- 108,520
teh! wakati wa mavuno, kiangazi au masika???
siku na wakat muafaka ukifika....
siku na wakat muafaka ukifika....
teh! wakati wa mavuno, kiangazi au masika???
kila la heri...? Akaribie C.C.B
Hataaa... Ngoja nipate uthibitisho wa maandishi aisee
cc Rich woman Suprise,
Don unataka uthibitisho gani, c nilishakuambia usiunganishe jina langu kwa hao viumbe
ukifika ww mwenywe utashuhudia
ama anatamanni kuwepo kundini...
hakunaga makombo kwenye vitu hivo bana
una maana kundi la watafutaji na watafutwaji....thubutuuuu!!!
una maana kundi la watafutaji na watafutwaji....thubutuuuu!!!
nikujibu nini tena?..ebu nikumbushe?..niko salama salimini
sizitaki mbichi hizi...
hee..kumbe unafamilia ee?