Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
stevoh ! Hi ni enzi zile mie sio mwenzenu tena!
duuh na ile post kule vip?
Last edited by a moderator:
duuh na ile post kule vip?
jamani mbona mnakaripiana kwa sababu ya hiyo juice niliyowatumia kunyweni wote msijali ila ilikuwa ya noahism
karibishaneni kwa upendo iyo juice jamani sipendi mkaripiane napenda kila mmoja afurahi tena furaha kubwa pokeeni ingine hii hapa
kama umeipenda wewe Donn ichukue maana naona mnagombana na noahism ila nitakumiss sana Donn kwani umetangaza nia kuwa waondoka na kwenda kwenye majukumu ya maisha sasa niPM ili nipate kuwasiliana nawe nimekutumia hii kama ishara ya kukumiss sana hapa MJENGONI View attachment 82251View attachment 82252
picha za watu8 pale juu zimetoa mfano...kua ni muhimu kua with...ama?
naendelea kulifuatilia kwa makini hili tukio adimu...kwa mwezi huu naona ndio linatufungulia mwezi!!!
ladyfurahia mie je?
jana ni enzi zile kweli nina wasiwasi wamekufwomati
ssshhhhh!..naelekea eneo la tukio...sioni wakaguaji ati
we kaa kwenye benchi hapo usubiri, babu kaenda kumfukuza huyu mpiga chabo, sijui ndio yupo with you...
![]()
weeee..huyu mbna anatoa macho ata sijaanza kukaguliwa?...nashauri liwekwe pazia la chuma see..madirisha yote kasoro mlango tu,..ili in case of anything nipate pa kutokea