CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

Nimeo nani? Wakati hata pingamizi bado, kamati ya screening bado pia hata baraka hatujazipata. Basi sema wewe ivyo

Umejiona eenh, basi sema umeoa RICH WOMAN uone kama kuna atakayepinga, usiwe huku na huku na usirudi CCB, huo ni uselfish
 
kama we bachelor kimbilia jukwaa la wageni fasta. kuna kotena limeingia muda si mrefu.
 
Ukipenda ua penda na boga lake / izo mambo nilisha zisahau zamani piga piga kibubu icho kiteme vocha iyo
Hongeraaa....!! Kwa hizi liabilities? Hapa tayari ninachanga la 15000/= limeingia....
 
Ukipenda ua penda na boga lake / izo mambo nilisha zisahau zamani piga piga kibubu icho kiteme vocha iyo

aaah... Mi bado natafakari.... Ila katoto kazuri... Wacha kesho nikafanyie mchakato wa nusu boom...
 
Back
Top Bottom