Teh teh...Sihitaji namba..Tena mchumba wangu ana wivu sana..
««loading...»»
nikudanganye nini tena..? Wakati mi ni singo boi na ni mstaarabu sana.. Njoo ufanye kazi bana.. Wacha uvivu
Nafasi ikowazi Evelyn natasha.... Moyo wangu umweupe kama theluji....
Mara ya mwisho ulisoma lini bible? Mimi ndio Binti Sayuni bibi harusi mtarajiwa wa Kristo....:amen: ila mbona kwenye bible hujatajwa bibie
:A S-cry:
Loo!
Ndo malengo ya kuanzisha hiki chama.
Members wa C.C.B Tuuu ndo wanaruhusiwa kufukuzia warembo CC... so hakuna matata
Mara ya mwisho ulisoma lini bible? Mimi ndio Binti Sayuni bibi harusi mtarajiwa wa Kristo....
Mara ya mwisho ulisoma lini bible? Mimi ndio Binti Sayuni bibi harusi mtarajiwa wa Kristo....
Kwa lipi ndugu?
Narudia tena, sidanganyiki.
Nipo ndani kwa ajili ya kujiandaa na arusi sasa nitatokaje kupanga mafaili..Kama unaweza niombee ruhusa...lakn ujiandae vilivo...Lakn kuna jambo moja la ajabu kwa huyu mchumba wangu.Hata wewe ukitaka kuwa mchumba unaruhusiwa japo ana wivu sana...mwambie apunguze mawivu bana.... Tena kama vp njoo usaidie kupanga mafaili ya chama mpendwa...