Chipukizi Wing CCM ni kinyume cha Sheria?

Kwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa Sifa za kuwa mwanachama wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa umri kuanzia miaka 18 na Pia Sifa za kuwa kiongozi wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa na umri usiopungua miaka 21. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 6 na 10A cha Sheria ya vyama vya siasa.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwakusanya watoto wadogo chamani chini ya mwamvuli wa Chipukizi na kuwapatia Uongozi katika umri huo mdogo kinakiuka sheria iliyo wazi ya vyama vya siasa.

Ni wakati sasa rungu la msajili wa vyama vya siasa kukishukia Chama hiki cha CCM.
View attachment 2849104
Yaani Siku zote ukiwa ni Mdadisi Unatakiwa kuwa na kumbukumbu. Yaani kwa akili yako Wewe una Uwezo wa kuweka umri wa Watu kuanza kusali
 
CCM inafanya hivyo kwa makusudi kutuondoa kwenye mijadala muhimu. Mf suala la upungufu wa umeme upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.

Tuweni makini na hawa watu yaani tuwapuuze kwani hawana hoja tena na hata Vyombo vya Dola vimeshawachoka. Wanachojaribu kufanya ni kutupotezea muda wa kujadili mijadala ya maana kwa kutuletea mambo yao ya kipuuzi kuvunja Sheria wazi wazi na kwenda kinyume na Katiba ya Nchi.

CCM hata waje wote watoto wao wajukuu zao wakwe zao hawataweza kujiondolea uchafu wao kwenye Jamii.
 
sio sheria ipi tu...

bali pia ni haki ya watoto kupata malezi, mafunzo yahusuyo nchi, maadili na uzalendo wa nchi yao, sio tu katika chama bali pia katika taasisi za kidini na mashirika yanayosimamia haki za watoto ya ndani na nje ya nchi....

Na matokeo ya malezi hayo ndio huzalisha wanachama na viongozi mahiri, shupavu, wenye weledi, wabunifu na makini siku za usoni..

sio kulalamika tu
Siasa ina muda wa kujihusisha nayo, usifananishe na dini. Haya ni madhara ya chama kukaa madarakani muda kwa shuruti. Hufukia mahali chama hicho kufuata Sheria kwa namna kionavyo sio namna itakiwavyo. Machafuko tu ama mapinduzi ya kijeshi ndio hurudisha nguvu za Sheria bila kuangalia chama.
 
hata kwenye mataasisi ya kidini na yasio ya kidini wanafundishwa wasijihusishe na mahusiano katika udogo wao kwasababu kuna madhara. Wanaandaliwa hadi muda ukifika wataoa kabisa na kuwa wanafamilia bora na wenye maadili....

Hawa chipukizi wanaopikwa mapema sana ni wazalendo wa baadae watakao zima fikra potofu kama zako kwa maneno na vitendo...

Sheria zipo na zitaendelea kuwepo, umbumbumbu wa sheria kwa yeyote, hauzui wazalendo makini kusonga mbele
 
Hawezi elewa huyo kilaza tu kama wana ccm wenzio, siasa kwanza uwe na shule ,pili uchumi binafsi ,kabla ya Ruto ,au kagame ,mseven , Hechilema, Trump , Obama,Mwinyi , magufuli ,Nyerere, mkapa n.k wapi walipo anzia upuuzi wa namna hii, ccm chama za kipuuzi sana
umepanic 😅
 
Watu wanajipanga kurithisha madaraka kwa watoto wao.
wengine wamelala fofofo wakishtuka itakua ni too late ni mwendo wa kulalaama na hakuna kitu watafanya na hakuna mahali wanaenda...

Siasa si tu ni Sayansi bali pia ni hisabati 😜
 
Kwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa Sifa za kuwa mwanachama wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa umri kuanzia miaka 18 na Pia Sifa za kuwa kiongozi wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa na umri usiopungua miaka 21. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 6 na 10A cha Sheria ya vyama vya siasa.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwakusanya watoto wadogo chamani chini ya mwamvuli wa Chipukizi na kuwapatia Uongozi katika umri huo mdogo kinakiuka sheria iliyo wazi ya vyama vya siasa.

Ni wakati sasa rungu la msajili wa vyama vya siasa kukishukia Chama hiki cha CCM.
View attachment 2849104
Halafu unaweza kuta jamaa linamiliki degree!
Nadhani akili hana kabisaa bali ana elimu tu.
Tangu lini watoto chipukizi wakawa wanachama wa chama cha siasa?
Moderators mambo mengine kama hayo yanaishushia hadhi JF.
Uzi kama huu ni kuufuta maapeemaaaa
 
hata kwenye mataasisi ya kidini na yasio ya kidini wanafundishwa wasijihusishe na mahusiano katika udogo wao kwasababu kuna madhara. Wanaandaliwa hadi muda ukifika wataoa kabisa na kuwa wanafamilia bora na wenye maadili....

Hawa chipukizi wanaopikwa mapema sana ni wazalendo wa baadae watakao zima fikra potofu kama zako kwa maneno na vitendo...

Sheria zipo na zitaendelea kuwepo, umbumbumbu wa sheria kwa yeyote, hauzui wazalendo makini kusonga mbele
Unazungumzia kufanywa wazalendo au kuandaliwa kuja kulinda Mali za wizi za wazazi wao kupitia ccm? Machafuko tu ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataondoa huu upuuzi.
 
Kwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa Sifa za kuwa mwanachama wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa umri kuanzia miaka 18 na Pia Sifa za kuwa kiongozi wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa na umri usiopungua miaka 21. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 6 na 10A cha Sheria ya vyama vya siasa.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwakusanya watoto wadogo chamani chini ya mwamvuli wa Chipukizi na kuwapatia Uongozi katika umri huo mdogo kinakiuka sheria iliyo wazi ya vyama vya siasa.

Ni wakati sasa rungu la msajili wa vyama vya siasa kukishukia Chama hiki cha CCM.
View attachment 2849104
Nakumbuka Chipukizi ilikuwako kabla ya hicho kifungu cha Sheria na sidhani kama Sheria ilitamka kufuta hiyo Chipukizi.
Tatizo linakuja kwa nini wakati wa uanzishaji wa mfumo huo upinzani uliokuwepo haukuona umuhimu wa kurudisha rasilimali za wananchi serikali ili vyama vyote vianze upya..??
Huo ndio udhaifu mkubwa kwa viongozi wa vyama vya siasa.
 
Unazungumzia kufanywa wazalendo au kuandaliwa kuja kulinda Mali za wizi za wazazi wao kupitia ccm? Machafuko tu ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataondoa huu upuuzi.
hawa chipukizi imara, hodari, madhubuti na wazalendo watadhibiti upotofu wa fikra kama zako na zinazofanana na hizo kwa haraka sana bila tashwishwi wala wasiwasi wowote na hakuna kitu utafanya wala mahali unaenda..
 
Halafu unaweza kuta jamaa linamiliki degree!
Nadhani akili hana kabisaa bali ana elimu tu.
Tangu lini watoto chipumizi wakawa wanachama wa chama cha siasa?
Moderators mambo mengine kama hayo yanaishushia hadhi JF.
Uzi kama huu ni kuufuta maapeemaaaa
Chipukizi wa chama Cha siasa watu wasipate ukakasi?!
 
hawa chipukizi imara, hodari, madhubuti na wazalendo watadhibiti upotofu wa fikra kama zako na zinazofanana na hizo kwa haraka sana bila tashwishwi wala wasiwasi wowote na hakuna kitu utafanya wala mahali unaenda..
Labda kwa mbeleko ya vyombo vya Dola. Kwa bahati mbaya kizazi kimebadilika. Hiki sio kizazi Cha ccm tena.
 
Aisee nimeogopa saaana kumbe tunaongozwa na vipofu.Yaani Tanzania ni nchi ambayo kuna maajabu mengi saaana.
 
Back
Top Bottom