Chipukizi Wing CCM ni kinyume cha Sheria?

Chipukizi Wing CCM ni kinyume cha Sheria?

Wakati vyama vingine wanalakamika ccm wanaiba kura wao ccm wapo busy kuandaa wapiga kura wao wa baadae wanaojifunza uzalendo,ukakamavu,ujasiriamali na mengine mengi ,ccm ni dude kubwa na kauli hii ya kidumu chama chama cha mapinduzi inaanza kueleweka ,hakiwezi kudumu kama hakuna warithi.
 
hata kwenye mataasisi ya kidini na yasio ya kidini wanafundishwa wasijihusishe na mahusiano katika udogo wao kwasababu kuna madhara. Wanaandaliwa hadi muda ukifika wataoa kabisa na kuwa wanafamilia bora na wenye maadili....

Hawa chipukizi wanaopikwa mapema sana ni wazalendo wa baadae watakao zima fikra potofu kama zako kwa maneno na vitendo...

Sheria zipo na zitaendelea kuwepo, umbumbumbu wa sheria kwa yeyote, hauzui wazalendo makini kusonga mbele
Wanaandaliwa kuwa wazalendo hao wanaowaandaa kuwa wazalendo ni akina nani?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Wakati vyama vingine wanalakamika ccm wanaiba kura wao ccm wapo busy kuandaa wapiga kura wao wa baadae wanaojifunza uzalendo,ukakamavu,ujasiriamali na mengine mengi ,ccm ni dude kubwa na kauli hii ya kidumu chama chama cha mapinduzi inaanza kueleweka ,hakiwezi kudumu kama hakuna warithi.
Ni mpumbavu Tu anayeweza kuandika upupu kama huu
 
Wanaandaliwa kuwa wazalendo hao wanaowaandaa kuwa wazalendo ni akina nani?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
waliopewa ridhaa ya kuongoza nchi na wazazi wa chipukizi hao hodari, makini na madhubuti waliotayari na kujitolea kulitumikia Taifa kwa dhati na kwa uaminifu mkubwa kwa manufaa ya waTz wote...
 
Labda kwa mbeleko ya vyombo vya Dola. Kwa bahati mbaya kizazi kimebadilika. Hiki sio kizazi Cha ccm tena.
we salia hivyo hivyo na ramli zako na wenzako wachache, wazee wa kususa na mihemko, akati wengine wanaendelea kujenga msingi, kujizatiti na kujiimarisha wanapostahili....
 
Wacha watakuja wakwambie, sio kila MTU unayemuona humu ana njaa
njaa tena?
Jamaa wa makasiriko watanambia nini sasa zaid ya kuyaporomosha

kwan alieshiba hatafuti hela...

alie na hela hawezi babaika na chipukizi hata kidogo...
 
nimeona siasa nyumbani, Baba chama chake cha walima kahawa wanywa mbege na Mama chama chake cha Usecretary na wapika mikate.

Nikiwa chipukizi nilenda shambani na manati yangu shingoni.

In between shambani na kupopoa ndege nilikuwa natumwa kwenda kazini kwa Mama na Siasa zao za Baba na Mama

Niliokota sana kuni kwa ajili ya oven la kuoka mikate. Wikiendi nilishinda huko bekari.

nachotaka kusema ni kwamba hawa vijana ndio Taifa la kesho, kwenda kwao katika shughuli za chama saa nyingine ni kwa sababu hakuna jinsi, na wakiwa huko watakacho jifunza ni Siasa, utiifu communications public speaking n.k n.k sioni shida na sidhani wao walichagua wazaliwe na wanasiasa kama vike mie nilivyozaliwa na mkulima na sekretari na muoka mikate.

Overall, uzoefu au experience niliyopata imenisaidia kufika hapa nilipo, I'm succesful, nimeoa, nimesafiri mabara karibia matano kwa kazi na sasa najenga.

Nisiwaboe, nilipata ujuzi na variety za skills and traits(nakunywa whiskey)baba alikunywa mbege na sasa matamanio yangu ni kuretire na shamba kubwa tu la kahawa au hata na bakery.

Sheria zimevunjwa au not, asilimia kubwa ya hawa watoto hawajui hata tafasiri ya sheria ndio nini. Waache wachepuke wajijenge.

Atleats wangu wakikuwa watakuwa wanajua Internet, facebook, tiktok, gram, whiskey na Jamiiforums
 
Back
Top Bottom