Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,594
- 123,100
Unajiimarisha halafu ikifika wakati wa uchaguzi unategemea mbeleko ya vyombo vya Dola, na tume isiyo huru ya uchaguzi?! Uza ubongo huo bro maana unakaa nao kwa hasara.we salia hivyo hivyo na ramli zako na wenzako wachache, wazee wa kususa na mihemko, akati wengine wanaendelea kujenga msingi, kujizatiti na kujiimarisha wanapostahili....