Chipukizi Wing CCM ni kinyume cha Sheria?

sio sheria ipi tu...

bali pia ni haki ya watoto kupata malezi, mafunzo yahusuyo nchi, maadili na uzalendo wa nchi yao, sio tu katika chama bali pia katika taasisi za kidini na mashirika yanayosimamia haki za watoto ya ndani na nje ya nchi....

Na matokeo ya malezi hayo ndio huzalisha wanachama na viongozi mahiri, shupavu, wenye weledi, wabunifu na makini siku za usoni..

sio kulalamika tu
Sasa kama hilo mnalijua mbona kuna sheria inayopinga hilo?
 
Umeelewa lkn point kuu ya mleta mada?, mleta mada amefafanua hadi vifungu vya sheria ya vyama vya siasa inayokataza watoto kujihusisha na shughuli za vyama vya siasa, iweje CCM inahusisha watoto kwenye kujijenga?
Mahaba yanafunga akili: Ni wale wale wenye Mahaba na MAGAIDI YA KIISLAMU YA HAMAS, yamefika pahala kusema mtanzania alikuwa mwanajeshi wa Israeli, haya jui madhara yake ni kwamba Magaidi ya Hamasi yanaweza hata kushambulia kwenye nchi tajwa;
Hayajui kuwa kuna exchange programs za wanafunzi SUA kila Mwaka kwenda kujifunza kilimo huko.
Nashangaa kama walikuwa hawataki tuemde kujifunza kilimo Israeli basi watutafutie nafasi kwenda Gaza kujifunza kuchimba mahandaki.
 
sio sheria ipi tu...

bali pia ni haki ya watoto kupata malezi, mafunzo yahusuyo nchi, maadili na uzalendo wa nchi yao, sio tu katika chama bali pia katika taasisi za kidini na mashirika yanayosimamia haki za watoto ya ndani na nje ya nchi....

Na matokeo ya malezi hayo ndio huzalisha wanachama na viongozi mahiri, shupavu, wenye weledi, wabunifu na makini siku za usoni..

sio kulalamika tu
Kwhiyo waliotunga sheria ni wanyarwanda , hiyo tuzikiuke kwakuwa ni warwanda walitunga sasa?
 
Ccm Watadesa huu mdeso

Kwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa Sifa za kuwa mwanachama wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa umri kuanzia miaka 18 na Pia Sifa za kuwa kiongozi wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa na umri usiopungua miaka 21. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 6 na 10A cha Sheria ya vyama vya siasa.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwakusanya watoto wadogo chamani chini ya mwamvuli wa Chipukizi na kuwapatia Uongozi katika umri huo mdogo kinakiuka sheria iliyo wazi ya vyama vya siasa.

Ni wakati sasa rungu la msajili wa vyama vya siasa kukishukia Chama hiki cha CCM.
View attachment 2849104
Nilicomment kukemea huu upumbavu wa ccm ni hatari ila kwa sasa sisiemu inaongozwa na watu wapumbavu wasio na akili ya kutambua hata mambo madogo wala makubwa yasiyo faa siasa na watoto ni kinyume hata na haki
 
Kwhiyo waliotunga sheria ni wanyarwanda , hiyo tuzikiuke kwakuwa ni warwanda walitunga sasa?
Jaji Mfawidhi wanaojua Sheria na wanajua iyo chipukizi hata hawatathubutu kuleta kimbelembele eti sheria,kanuni au taratibu fulani zimekiukwa.....

wasio jua chochote kuhusu chipukizi ndio viherehere sasa macho mbele mbele kubwekabweka.....

Nenda mahakamani sasa si unajua sheria
 
Nani aende Mahakamani? Mahakama zipo mikononi mwa watu, hujui kwamba huwa kikombe kikijaa huwa kinamwagika?
Hujui iliyotokea nchi nyingine huko Magharibi mwa Africa?
Unafikiri Watu wanabaki wapumbavu siku zote?

#Kwa mtini jifunze.
 
sasa unalalama na kulialia nini 🤣

sasa kinachotokea huko kinanihusu nini mie?
Fanya kazi kwa bidii kulalamika hakubadili chochote
 
Kwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa Sifa za kuwa mwanachama wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa umri kuanzia miaka 18 na Pia Sifa za kuwa kiongozi wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa na umri usiopungua miaka 21. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 6 na 10A cha Sheria ya vyama vya siasa.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwakusanya watoto wadogo chamani chini ya mwamvuli wa Chipukizi na kuwapatia Uongozi katika umri huo mdogo kinakiuka sheria iliyo wazi ya vyama vya siasa.

Ni wakati sasa rungu la msajili wa vyama vya siasa kukishukia Chama hiki cha CCM.
View attachment 2849104

CCM bado wako kwenye zama za Ukomunist..... Chama kimeshika Utamu.
 
CHADEMA wakifanya hivi watapokea onyo kali sana kutoka kwa msajili wa vyama vya siasa.

Hata kesho CHADEMA wakianzisha mambo ya chipukizi watapokea onyo na wala msajili hatoona aibu kwamba hakusema lolote kwa CCM.

Kwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa Sifa za kuwa mwanachama wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa umri kuanzia miaka 18 na Pia Sifa za kuwa kiongozi wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa na umri usiopungua miaka 21. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 6 na 10A cha Sheria ya vyama vya siasa.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwakusanya watoto wadogo chamani chini ya mwamvuli wa Chipukizi na kuwapatia Uongozi katika umri huo mdogo kinakiuka sheria iliyo wazi ya vyama vya siasa.

Ni wakati sasa rungu la msajili wa vyama vya siasa kukishukia Chama hiki cha CCM.
View attachment 2849104
Nimeumia sana binafsi, sasa nawambia ipo siku Mwanangu junior atakua Rais wa nchi kwa sasa dogo acha apige kitabu , stupid ccm
 
Umeelewa lkn point kuu ya mleta mada?, mleta mada amefafanua hadi vifungu vya sheria ya vyama vya siasa inayokataza watoto kujihusisha na shughuli za vyama vya siasa, iweje CCM inahusisha watoto kwenye kujijenga?
Hawezi elewa huyo kilaza tu kama wana ccm wenzio, siasa kwanza uwe na shule ,pili uchumi binafsi ,kabla ya Ruto ,au kagame ,mseven , Hechilema, Trump , Obama,Mwinyi , magufuli ,Nyerere, mkapa n.k wapi walipo anzia upuuzi wa namna hii, ccm chama za kipuuzi sana
 
Back
Top Bottom