Chipsi zazua kizaa zaa Uwanja wa Sydney Australia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chipsi zazua kizaa zaa Uwanja wa Sydney Australia

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Profesa, Apr 22, 2012.

 1. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  katika hali isiyotarajiwa, ninaangalia Discovery kipindi cha Crime Search na jamaa aliyekuwa ametoka Tanzania alikamatwa na kuwekwa chini ya Ulinzo kwa kuwa na "Unidentified Yellow Substance". Naona Fire Brigade, Wataalamu wa mabomu na kikosi maalum cha kuzuia ugaidi, wataalamu wa madwa, na watu wamekuwa evacuated katika chumba cha ukaguzi. Viepe vipo ndani ya mfuko mweusi maarufu kama kondomu. Baada ya Masaa kama manne ndio wanakuja kukubali ni chakula ambacho hakina madhara. Si unajua mambo ya viepe vyetu tunavyoviandaa na ndani ya nmfuko wa rambo tena....
   
 2. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Amazing. Hiyo episode ilitwaje haswa?
  Natamani niitafute. Dah! Jamaa katiwa noma kweli. Sijui angeshtaki for reputation, maana wasafiri watapunguza imani kwake.
   
Loading...