Kwa wapenzi wa literature je mnafahamu kuwa vitabu vitatu vya Chinua Achebe Things fall apart,an arrow of God na no longer at easy ilikuwa ni sentensi moja ambayo aliitoa vitabu vitatu?ni kama ifuatavyo: THINGS FALL APART BECAUSE AN ARROW OF GOD IS NO LONGER AT EASY.
Akimaanisha kuwa mambo Afrika yanaenda mrama kwa sababu ule upinde tuliopewa na Mungu tujilinde nao ambao ni utamaduni na Mila zetu uko shagrabagra na hauwezi kurenga tena.Hapa anazungumzia uigaji wa mila za kigenei pamoja na utandawazi kwa ujumla.Mpo..