Chinua achebe na vitabu vyake vitatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chinua achebe na vitabu vyake vitatu

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by OMEGA, Oct 7, 2011.

 1. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Kwa wapenzi wa literature je mnafahamu kuwa vitabu vitatu vya Chinua Achebe Things fall apart,an arrow of God na no longer at easy ilikuwa ni sentensi moja ambayo aliitoa vitabu vitatu?ni kama ifuatavyo: THINGS FALL APART BECAUSE AN ARROW OF GOD IS NO LONGER AT EASY.
  Akimaanisha kuwa mambo Afrika yanaenda mrama kwa sababu ule upinde tuliopewa na Mungu tujilinde nao ambao ni utamaduni na Mila zetu uko shagrabagra na hauwezi kurenga tena.Hapa anazungumzia uigaji wa mila za kigenei pamoja na utandawazi kwa ujumla.Mpo..
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  AH, imani kutiana, mawazo kupanuana. nashukuru kwa kunitia na kunipanua!
   
 3. S

  Senior Bachelor Member

  #3
  Oct 8, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunashukuru.

  Marekebisho kidogo:
  neno sahihi ni shaghalabaghala, sio shagrabagra kama ulivyotumia wewe. Au nawe msamiati wa kiswahili umeenda mrama? hahhhaa.

  Ila nashukuru sana kwa hilo. Sikuwa najua kuwa hiyo sentensi imerudiwa kwenye vitabu vyote vitatu. Kama kweli wewe ni mpenzi wa fasihi andishi nakushauri pia usome "The wreath for father Mayer of Masasi". Ni riwaya imeandikwa na Mtz mwenzetu S. Ndunguru. Kwa sisi tuliosoma zamani (kidato cha 4 hadi 2004 hivi) hatukuisoma. Ila sasa inasomwa shuleni. NAKUHAKIKISHIA UTAIPENDA SANA. Haina maudhui ya ukoloni, mila na desturi n.k. kama hizo za Achebe na Ngugi. Hii ina mambo ambayo ndiyo yanatokea sasa- teknolojia, dawa za kulevya na dini. Inamuhusu padre mmoja (fr Mayer), mgeni (sio Mtz) lakini anafanya kazi songea huko Masasi. Anasafiri kwenda ng'ambo kumbe anabebeshwa dawa za kulevya. Sasa endelea toka hapo...........
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180

  Mhhhhhhhhhhhhhhh! Boss unaona mambo haya. Ni ngumu kufikiria au kuhisi kama binadamu wengine 'have even a little brain'.
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  we jinsia gani mkuu?
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Red n bolded: Mhhhhhhhhhh, lugha hizi bado safari ndefu kweli kweli!
   
 7. k

  kingmajay Member

  #7
  Oct 13, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Red hiyo, Songea haiko Masasi, Songea iko mkoani Ruvuma na Masasi iko mkoani Mtwara.
   
Loading...