Ennie JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 7,137 Reaction score 4,139 Nov 23, 2012 #61 charminglady said: mgagani ni ile mboga chungu hivi.... figiri siifahamu Click to expand... Figiri ndio hiyo uliyoweka picha yake hapo juu kwa jina la Sukuma wiki.
charminglady said: mgagani ni ile mboga chungu hivi.... figiri siifahamu Click to expand... Figiri ndio hiyo uliyoweka picha yake hapo juu kwa jina la Sukuma wiki.
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Nov 23, 2012 #62 Figiri zimefanana na sukuma wiki lakini ziko soft zaidi na tastier. Nadhani zinakua kwenye baridi zaidi? charminglady said: mgagani ni ile mboga chungu hivi.... figiri siifahamu Click to expand...
Figiri zimefanana na sukuma wiki lakini ziko soft zaidi na tastier. Nadhani zinakua kwenye baridi zaidi? charminglady said: mgagani ni ile mboga chungu hivi.... figiri siifahamu Click to expand...
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Nov 23, 2012 #63 Au unefungua kamgahawa ka kizushi ka swahili food na unahitaji labels? Hongera mwayego charminglady said: sio hivyo my shem me nataka kujua jina tu.... nothing more!!! Click to expand...
Au unefungua kamgahawa ka kizushi ka swahili food na unahitaji labels? Hongera mwayego charminglady said: sio hivyo my shem me nataka kujua jina tu.... nothing more!!! Click to expand...
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Nov 23, 2012 Thread starter #64 shost yan we acha naplan biashara hiyo... King'asti Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Nov 23, 2012 #65 Inaitwa "ya kichina"