Habari wana JF.
Mimi ni mtanzania ambaye nimepata bahati tu ya kusoma china. Kitu kinachonisikitisha ni kwamba watanzania wengi tunakosa habari ( information) za mambo mbalimbali. Watu wa mataifa mbali mbali wanachangamkia sana fursa za elimu zinazotolewa huku kuliko sisi watanzania. Nisiseme sana ila lengo langu ni kutoa taarifa tu.
Kuna ufadhili ambao serikali ya china unautoa kila mwaka ukiachana na ule unaopitia serikalini na kutangazwa na sekta mbali mbali kama wizara ya elimu au wizara ya nishati na madini ambao ufadhili unatokea serikali ya china, ipo njia ya mtu binafsi kuomba ufadhili moja kwa moja kupitia chuo husika kilichopo Uchina ambacho kina uhusiano na sekta inayotoa mikopo huku china (China scholarship council). nimebainisha hapa chini mpangilio wa kuomba huu udhanimi.
1) sign up at [www.csc.edu.cn/laihua/noticeen.html]
2) jaza fomu itakayokuja na kisha ipakue (download)
3) Fanya maombi / application kwenda chuo unachokitaka ( kwenye mtandao/website wa chuo) sawa na ulichojaza awali (1) kisha ambatanisha na fomu uliyopakua awali (download)
4) Endelea na kazi zako huku ukisubiri kama utabahatika . ( waswahili wanasema itika wito kataa neno)
DEADLINE: march 2016 ( mwishoni )
Note: Wenye asilimia kubwa ya kupata niwale watakaoomba MASTER'S au PhD's kulingana na utafiti wa asilimia 95 ya waliopo hivyo kwa bachelor ni ngumu sana kupata labda uwe unajisomesha kwa pesa zako mwenyewe)
kwa msaada zaidi:[kbongole@yahoo.com]