Chinese scholarship 2016-2015 information

Chinese scholarship 2016-2015 information

admission inabidi ulipie.ila kama unataka kwa ajili ya kusaport maombi yako ya scholarship basi omba ACCEPTANCE LETTER ambayo inakuwa ni preadmission .hii hutolewa BURE na vyuo vingi.
 
Vipi wadau wa maendeleo... na elimu, majibu yetu hayajatoka au ndio nimepigwa chini kimya kimya....
 
kama kupigana chini wawe wanasema tumekupiga chini ili mtu afahamu sio kimya kimya namna hii.... mtu ana subiria mpaka ana kata tamaaa
 
Vipi wadau wa maendeleo... na elimu, majibu yetu hayajatoka au ndio nimepigwa chini kimya kimya....
Tembelea tovuti ya wizara ya elimu waliweka matokeo ya waliofaulu siku nyingi tu
 
Back
Top Bottom