Kida ze great
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 746
- 852
😂😂😂🙏🙏Fikiria upo angani, halafu unaambiwa kuwa ndege hii imetengenezwa China!! Si utatamani itue sehemu yoyote ya uwanja ulio karibu ili uteremke!!
😂😂😂🙏🙏Fikiria upo angani, halafu unaambiwa kuwa ndege hii imetengenezwa China!! Si utatamani itue sehemu yoyote ya uwanja ulio karibu ili uteremke!!
We mchina wa kimanzichana mbona muongo hivyo kama shetani!!! Kuwa!!??China imefanya jambo zuri sana kwa usalama wa raia zake
Madege ya Boeing ni takataka kuanzia commercial airplanes, defense na space aircrafts
Boeing commercial airplanes zimekuwa na changamoto ya usalama hasa landing gear
NASA waliwapa kandarasi ya kuwapeleka wanaanga 2 anga za juu kwenye kituo cha ISS baada ya siku 8 wakashindwa kuwarudisha
Ikabidi NASA waiombe SpaceX ndio ikafanya mpango wa kuwarudisha duniani baada ya miezi 8
Boeing 737 Max imeshaua sana watu wengi. Hata kukaza screw tu ni tatizo
Mbona China wana ndege zao COMACMchina kucopy kote bado ndege amegonga mwamba.
Mbona hawazitumii wanaagiza nje?.Mbona China wana ndege zao COMAC
Mbona hawazitumii wanaagiza nje?.
Mchina kucopy kote bado ndege amegonga mwamba.
We sio mtanzania?Mnafeli wapi Watanzania kucopy na kupaste kama China.
Umelielewa swali nililouliza?We sio mtanzania?
SawaUmelielewa swali nililouliza?
We mchina wa kimanzichana mbona muongo hivyo kama shetani!!! Kuwa!!??
Fikiria upo angani, halafu unaambiwa kuwa ndege hii imetengenezwa China!! Si utatamani itue sehemu yoyote ya uwanja ulio karibu ili uteremke!!
Wale ng'ombe wa Marekani watasema China atakosa vipuri vya kuhudumia mamia ya ndege alizonunua marekani bila kujua mchina anaweza kucopy hata ndege nzima 😁😁
Hawajifunzi tu wanajua bado zile kelele za american number oneMarekani ikiweka vikwazo inajisikia raha na kuona ni haki yake kufanya hivyo.... Yenyenye ikifanyiwa hivyo inaona ni makosa.
Wale ng'ombe wa Marekani watasema China atakosa vipuri vya kuhudumia mamia ya ndege alizonunua marekani bila kujua mchina anaweza kucopy hata ndege nzima 😁😁
Hata Huawei ilipigwa ban mda .saiv si cm zao ziko na Os mpya iliobuniwa china ,alaf cm nyingi za china hawatumiii play storeNa zile Engene za ndege zake mpya vipi? China anazalisha bidhaa nyingi sana kwa Techinolojia ya Mmarekani, na Marekami akimua hapiga stop China atalia.
Kumbuka hadi sasa Simu za Kichina ukitoa huawei zinatumia techinolojia za Minarekani ikiwemo playstore.