KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,570
- 89,214
Umechoka...?😂Wapigwe tu, maana hamna jinsi.
Umechoka...?😂Wapigwe tu, maana hamna jinsi.
Wakuu ebu angalieni utumbo huuNa zile Engene za ndege zake mpya vipi? China anazalisha bidhaa nyingi sana kwa Techinolojia ya Mmarekani, na Marekami akimua hapiga stop China atalia.
Kumbuka hadi sasa Simu za Kichina ukitoa huawei zinatumia techinolojia za Minarekani ikiwemo playstore.
Mchina huyu aliyetengeneza space station ashindwe kutengeneza ndege!? media gani imekudanganya? jaribu kuangalia CGTN ujionee mavitu ya mchinaMchina kucopy kote bado ndege amegonga mwamba.
Mbona hayatumii anaagiza ya nje?Mchina huyu aliyetengeneza space station ashindwe kutengeneza ndege!? media gani imekudanganya? jaribu kuangalia CGTN ujionee mavitu ya mchina
China kwa technology inajiweza pakubwa mno! mfano ukiongelea engine, engine ni uchaguzi "blaza" halafu wachina wana akili kuliko unavyofikiria kwanza wana engine zao ila waliona bado zinahitaji muda wa kukubalika global,so walichofanya ni kutumia CFM engines unajua kwa nini!?😅 kwa sababu wanaakili kuliko akili zako! waliyajua haya! pili hawana conflict na EURO so wanaweza tumia pia RR engines na bado wakatoboa,na ikishindikana watatumia ZAO kwamana wanazo...kuhusu PLAY STORE ni wewe tu unaeona bila PlayStore hutatoboa, kuna kina sisi hapa wa mbagala hatuigusagi hata hiyo PLAYSTORE, na hapa unadhihirisha huna ulijualo ulipaswa kusema AOS😅 kwa kukushtua tu Soko la ndani la wachina tu linajitosheleza ITAZAME HUAWEI haitumii AOS na imerudi vibaya vibaya kama Mnyama simba kwa mkapa...angalia leo rank iko namba ngapi kwa mauzo na ubora vile!? 🤔 kama tu ilivyo Amerika basi na sasa China ni dude moja kubwa sana utake usitake ulichukie ulipende hivyo ndivyo!Na zile Engene za ndege zake mpya vipi? China anazalisha bidhaa nyingi sana kwa Techinolojia ya Mmarekani, na Marekami akimua hapiga stop China atalia.
Kumbuka hadi sasa Simu za Kichina ukitoa huawei zinatumia techinolojia za Minarekani ikiwemo playstore.
kuna watu wana roho za choyo wivu na chuki mpaka wanadhihirisha uchawi kabisa...kuwaelekeza ni kazi sana!😅Mchina huyu aliyetengeneza space station ashindwe kutengeneza ndege!? media gani imekudanganya? jaribu kuangalia CGTN ujionee mavitu ya mchina
kuna watu ni sijui ni wehu ama mataahira....sijajua! yaani mtu anaweza kucreate account JF na "akalogin" na akajua hapa nareply,hapa napost! na bado asijue China wanaunda sio tu ndege Bali MIJIDEGE ....tunamuweka kundi gani huyo!?Mbona China wana ndege zao COMAC
na utakuwa utumbo wa kunguru haufai kwa lolote😅🙌Wakuu ebu angalieni utumbo huu
samahani blaza...na wewe ni darasa la tatu D kama mimi!?😂Mbona hayatumii anaagiza ya nje?
Mbona Tecno wanatumia play store??Hata Huawei ilipigwa ban mda .saiv si cm zao ziko na Os mpya iliobuniwa china ,alaf cm nyingi za china hawatumiii play store
samahani blaza...na wewe ni darasa la tatu D kama mimi!?
Halafu wewe unaetamani kushuka,nchi yako hata sindano haitengenezi. Ukikaguliwa kila kitu ulichonacho hapo kimetengenezwa CHINA.Fikiria upo angani, halafu unaambiwa kuwa ndege hii imetengenezwa China!! Si utatamani itue sehemu yoyote ya uwanja ulio karibu ili uteremke!!
Una uhakika?Mchina kucopy kote bado ndege amegonga mwamba.
Nimechoka nini?Umechoka...?😂
Uzuri jamaa anatumia huku anaiga......kwenye hizo chip za simu si walijua wakimpiga vikwazo watammaliza kumbe jamaa hadi teknolojia za kutengeneza hizo chips alishaanza kuiga.......kumkata upepo mchina kwa sasa ni ngumu sana, wale jamaa taifa zima vichwa vinafanya kazi ila ukienda kwa wamagharibi wataalam wengi kama sio myahudi basi mhamiaji,,,....wazungu wamekua consumers sana nyakati hizi......Na zile Engene za ndege zake mpya vipi? China anazalisha bidhaa nyingi sana kwa Techinolojia ya Mmarekani, na Marekami akimua hapiga stop China atalia.
Kumbuka hadi sasa Simu za Kichina ukitoa huawei zinatumia techinolojia za Minarekani ikiwemo playstore.
ni brand ya kimataifa yaani world wide brand sio tu simu wana devices mbali mbali na haziuzwi china...lakini huwaambii kitu wachina na hiyo brand...wanajimwambafai nayo sana MADE IN CHINA to the WORLD !Mbona Tecno wanatumia play store??
Hiyo itawasaidia nini sasa?Wapande punda au ngamia.China imeonyesha kuchafukwa sasa wameingia kwenye Vita rasmi ya kibiashara sasa wanayanyoosha makampuni ya Marekani kitu ambacho kitasababisha mdororo wa kiuchumi na ukosefu wa ajira huko US.
The trade war:
China has ordered its airlines to halt all deliveries of Boeing jets and stop purchasing U.S.-made aircraft parts and equipment, a move reported on April 15, 2025, in response to the U.S. imposing 145% tariffs on Chinese goods. This escalation in the U.S.-China trade war, driven by President Donald Trump’s policies, follows China’s retaliatory 125% tariffs on U.S. imports, which nearly double the cost of Boeing jets. The halt affects major Chinese carriers like Air China, China Eastern, and China Southern, which had planned to receive 179 Boeing planes from 2025–2027. Beijing is also exploring support for airlines leasing Boeing jets to offset increased costs. The freeze, which may allow some deliveries with completed paperwork on a case-by-case basis, poses a significant challenge for Boeing, as China is projected to account for 20% of global aircraft demand over the next two decades. Boeing shares dropped 2.5–3% in premarket trading following the news. No official comments have been issued by Chinese aviation authorities or Boeing.