Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 800
- 2,743
- Thread starter
- #21
Inasikitisha mnoSisi tunaongoza kwa uchawi na duniani tupo top ten inasikitisha sana.
Inasikitisha mnoSisi tunaongoza kwa uchawi na duniani tupo top ten inasikitisha sana.
HakikaWakali wa
Control C + Control V
ndio mana ni muhimu sana kwa China kumsupport Russia kule Ukraine,Hapo namba 4 Quantum kipengele cha Quantum computing baada ya Marekani kuona watazidiwa wameshaanza figisu
View attachment 2988799
Umesema vyemandio mana ni muhimu sana kwa China kumsupport Russia kule Ukraine,
US anatumia vibaya 'ukubwa' wake ambao nao 'alipewa' na wenzake!
downfall ya US itakua mbaya sana, maana on his way up ameumiza wengi sana, na sasa anachoma ngazi iliyompandisha juu ili wengine wasipande!
Anazeeka vibaya sana yule babu BidenKuna mzee anayetetea taifa la Mungu kupigana na Hamas , tapeli anayelazimisha auziwe app ya tiktok
US anapitia kipindi kigumu sana hegemony yake inashuka kwa kasi.ndio mana ni muhimu sana kwa China kumsupport Russia kule Ukraine,
US anatumia vibaya 'ukubwa' wake ambao nao 'alipewa' na wenzake!
downfall ya US itakua mbaya sana, maana on his way up ameumiza wengi sana, na sasa anachoma ngazi iliyompandisha juu ili wengine wasipande!
Huyo ananunua bidhaa za bei chee, zinazolenga makapuku wa bara la AfrikaBidhaa gani za China zimekutia hasara?
Utafiti wa dunia umesema hivyo. Wewe ni nani mpaka ubishe
Unajua source ya hiyo taarifa au unabwabwaja tu?na kuna wananchi wataamini hizi propaganda za CCP
what a tragedy
huwezi pata innovation bila freedom mzee.....
critical technologies kama jet engines,AI,advanced chips,etc huwezi zipata China
CCP ipo kwenye propaganda season
Source niijulie wapi wewe manina?Unajua source ya hiyo taarifa au unabwabwaja tu?
Source niijulie wapi wewe manina?
Umekopi garbages huko halafu unataka mimi nigange source imetoka wapi?
Are you insane?
I got no time for that nonsense
CCP ipo kwenye propaganda season....who cares!
.......na ndicho wanachojaribu kuifanyia uchina, sema wachina ni wanafunzi wazuri sana wa historia,.......Umesema vyema
Marekani itakumbukwa kwa jinsi iliaingusha Japan miaka ya 1980 wakati Japan inakuja kwa kasi kwenye teknolojia na industrial manufacturing kwa kutumia Plaza Accord Agreement, kupiga ban importation of Japanese industrial products na high import tariffs
ujinga ni mzigo mkubwa sana!na kuna wananchi wataamini hizi propaganda za CCP
what a tragedy
huwezi pata innovation bila freedom mzee.....
critical technologies kama jet engines,AI,advanced chips,etc huwezi zipata China
CCP ipo kwenye propaganda season
Umesema vyema.......na ndicho wanachojaribu kuifanyia uchina, sema wachina ni wanafunzi wazuri sana wa historia,.......
ninachokiona hili jambo litapelekea kila nchi ijaribu kujitegemea katika vitu vya msingi, na hivyo kuondoa kile wanaita 'utandawazi' i.e freeflow of goods and capital.........
sitegemei nchi kama urusi ije kutegemea bidhaa za magharibi tena baada ya hivi vikwazo, na hili litakua anguko la magharibi kiuchumi na kiushawishi
Umeeleza vizuri mkuuujinga ni mzigo mkubwa sana!
hitler na wanasanyansi wake walipofanya gunduzi za ajabu kulikua na uhuru?
nyie ndio mnaamini eti ushoga ni haki za binadamu, what a pit
Wellsaid bro, uchambuzi mzuri sanaUmesema vyema
China imeionyesha dunia kuwa Marekani the so called baba wa free trade ni mnafiki kumbe akizidiwa anakuwaje
Hata India nao wajitathimini sana, kitendo cha kutumiwa na West kutaka kucompete na China kitakuja kuwatokea puani
Wajitahidi sana hasa kwenye kutengeneza na kuzibrand Indian based high tech companies
Na wao wawe na HUAWEI yao, BYD yao, Alibaba yao, Tecent yao, Baidu yao, C919 yao n.k
La sivyo anachofanyiwa China sasa wasishangae wakaja kufanyiwa na wao. Mjapan alisanda figisu za Marekani
Mchina kaionyesha dunia inawezekana kumkazia Marekani