Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,436
- 50,163
Kampuni ya Chang Guang Satellite imeweka kiwango kipya cha 100 Gbps kwa kutumia kiunganishi cha laser kutoka angani hadi Duniani, ikiiacha Starlink nyuma na kutanguliwa na satelaiti za Jilin-1, hii sio tu kuhusu intaneti ya kasi zaidi—ni hatua kubwa kuelekea uvumbuzi wa hali ya juu wa kuelekea mitandao ya 6G.
China inapanga nini kijacho katika technolojia ya satelaiti? Hebu tuzungumze juu yake!
China inapanga nini kijacho katika technolojia ya satelaiti? Hebu tuzungumze juu yake!